Sina hamu tena kuonana uso kwa uso na mwanaJF

Lol...humu kweli unaweza mtu ukatukanana hata na mzazi wako achilia mbali kumtokea mzazi wako mwenyewe (perish the thought)....just be careful who and how you interact....

Pia unaweza kukuta mdingi wako ndio anapost mapicha kule kwa wakubwa....oooh man....
 
Ha ha ha....ni kweli mkubwa humu ndani kuna kila rika,na kila vyeo. utakuta watu wanataniana na kutukanana kabisa siku ya kuja onana sijui itakuwaje, kumbe bosi, mara mkwe,mara mkeo basi aibu tupu. we should watch our behavour.
 
hongera sana Acid!
mungu atakubariki ukutane na wengi zaidi kama unavyotaka!
duu!kumbe j.f si mchezo watu wanaweza kuunganisha udugu siku moja!
nimeipenda hiyo!
 
1.hapa pana mambo,............... waweza kukuta umdhaniae ni mzee kumbe ni mtoto kabisa
2.umdhaniae mwanamke kumbe ni dume na masharubu yake.
3.umdhaniae mlevi kumbe hajawahi onja toka kuzaliwa.
4.yule unaetaka sana kumuona kumbe ni mumeo/mkeo/mchumba wako.
5.yule unaedhani anaishi London kumbe yupo manzese kwa mfuga mbwa
CHAMSINGI
JAMBO LA MSINGI NI KUWA, HAPA UNAPATA MAWAZO YA NDANI KABISA YA MTU.
KWA KWELI UKIBAHATIKA KUMUONA MWANA JF......UTAKUWA UMEMJUA 100%
 
..Na mwisho ukishakolea unampa " tukutane mipango guest house" nitakuwa nimevaa sarawili ya dengilizi na mujusi mwekundu hapo ndio panakuwa patamu....:A S 8::confused2::A S 8:

Hii lugha hapa inaonyesha weye ni moja wao OLD SKUL:becky::becky::becky:
 

Am in!!!
 
good idea, nimeipenda hii.
 
Tuko
Member Join Date Thu Jul 2010
Posts 30
Thanks : 0
Thanked 12 Times in 7
 
:cell::cell::cell::cell:
 
hahahahah!!!!!!!!!
tatizo matongozo mwali mma!!...mabwana wengine kufanya kutaka kuonana lakin ajenda zao bwanawewe mmh kunyata.......
.......!!
..wanaomba mkutane bt afta kumit kitongozo iki..for real i dnt wan t
km kumit tumit tu lakin habar nyingine zile mmh mmh aapana!!
byeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…