S slab Senior Member Joined Sep 12, 2013 Posts 119 Reaction score 27 Oct 27, 2013 #1 Habar wakuu nisaidieni maana sielewi ni tatizo au nini maana mda niki amka huwa najisikia nimeshba kabisaaa imenpelekea mpka mwili wangu kuwa mwembamba am 22 years old
Habar wakuu nisaidieni maana sielewi ni tatizo au nini maana mda niki amka huwa najisikia nimeshba kabisaaa imenpelekea mpka mwili wangu kuwa mwembamba am 22 years old
D Deborita Member Joined Sep 10, 2013 Posts 37 Reaction score 11 Oct 27, 2013 #2 itakua minyoo,kama co minyoo bac ni dalili ya ulcers
S slab Senior Member Joined Sep 12, 2013 Posts 119 Reaction score 27 Oct 27, 2013 Thread starter #3 deborita said: itakua minyoo,kama co minyoo bac ni dalili ya ulcers Click to expand... nilikula dawa za minyoo lakini bado tatizo lipo,labda ngoja nicheck alcers
deborita said: itakua minyoo,kama co minyoo bac ni dalili ya ulcers Click to expand... nilikula dawa za minyoo lakini bado tatizo lipo,labda ngoja nicheck alcers
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Oct 27, 2013 #4 Fanya mazoezi. Pia ni kawaida. Kula kuanzia saa 4.