Sina hamu ya kula, nikiamka asubuhi nasikia kichefu chefu

jamani nahitaji msaada its seriuz issue kama huna cha kuchangia ni bora ukapita tu
 
Kama huna malaria,typhod,minyoo nk bax kuna uliyempa ujauzito na mybe hujui coz hajakwambia ili afanye yakee kama ni kuflash nk. Fatilia utuletee mrejesho
 
Minyoo pia husababisha kichefuchefu . lakini ni vyema ukapime kuliko kucheza kamali hapa
 
Mmkuu nitafute suluhisho lipo tiba ZA asili yani utakuwa unasikia njaa hadi utajikimbia mwenyew
 
Mimi pia nina kichefuchefu week nzima kila asubuhi na jioni[emoji22]
Kina ambatana na Homa Homa
Hata hamu ya kula inakosekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…