Sina hamu ya mapenzi na uume wangu hausimami asubuhi

Jaman pole sana kaka,,...usijali utapona,,...kaka Kaizer kuja huku tafadhal
 
Last edited by a moderator:
umhhh .... inawezekana kuna jambo linakusumbua eg una mawazo
 
pole aiseh ngoja waje wakusaidie wenye kujua
 
Kufanya mapenzi iko controlled na vitu vingi...ila hasa hormone inayoitwa testosterone. Hii huwa released ukiwa mentally free. So issue yako ni mastress ya vijana tu na ugumu wa maisha coz kulingana na maelezo yako ww ni rijali. Kula ugali maharage ramba asali mbichi na unga wa mdalasini utakuwa ok soon. Zaidi sana punguza mawazo.
 
Dah sijui hata nimeandika nn hapo...dah. Aisee sorry nilikuwa namtumia sms anko sio ww plz ignore...ila ile ya marnah na mil 270 zake iko ok. Dah light sio nzuri aisee kaaahh...
 
Hili tatizo nimekwenda hospital nikaambiwa nina psychological problem, nimekua cancelled for sometimes na psychologist, but nothing has happened to me, and am still suffering from the same problems as i mentioned them earlier.


na mimi ndivyo ninavyo dhani .. inawezekana tayari you have ur own diagnosis .. try to relax ! kuna usemi "sometimes distance is the best medicine"

nenda kijijini au mbali na mjini sehemu ambayo unaweza uka relax ukawa bila mawazo yoyote ... " pombe sio solution maana waweza ukasema njiw wa jf kasema relax basi pombe itanisaidia BIG NO"

nakumbuka we had a psycho case jamaa ambaye aliwahi kumfumania mkewe... toka siku hiyo jamaa akapatwa na tatizo kama lako ..



 
Hata madawa aliyokuwa anatumia pindi anaumwa yanaweza kuhusika pia. ila mi sio doctor just wazo
 

ulishakwenda hospitali!?
 
Jaribu kutumia vyakula vyenye wingi wa madini ya zinc kwa wingi tatizo lako litaisha pia usisahau kupunguza stress na kufanya mazoezi..
 
Inasikitisha sana Vijana under 40 wana matatizo haya cases kama zako nowadays tunasikia kwa vijana under 40 weeeengi

sijui wapi tulikosea

kwakweli sijui

Anyway piga mazoezi kwa sana angalau kila asubuhi

kula vyakula mbalimbali vya asili muone mtaalamu wa vyakula kwa msaada zaidi

achana na ma tomato souces haya, ma soda beer, sigara
 
oyah kumbe tupo wengi namna hiiiiiiiiiiii? pouuwa kamanda langu! km vp mida mida! au c o?
 
Pole sana .Relax punguza mawazo jitahd kula vizur na mazeoz hayo mambo sio magen kwa maisha ya sasa.
 
Tatzo lako dogo sana. Ongea na mke wako akubali kukosa huduma kwa muda na asikughasi kwamba anataka. Usifikirie sana suala hili badae utaona muti unapanda wenyewe. Acha kufikiri mambo ya muti kusimama asubh
 
Naziogopa hizo kaka, nilishauriwa na mtu about hizo makitu, tena akanipa varieties kama viagra, cialis, vega, erecto, njoi, vega, but zina side effects mbaya, they may cause even death, so naziogopa sana.

Unapata choo vizuri kama kawaida? Je kuhusu namna ya kuhimili mkojo? Miguu haina nguvu kama zamani?

tragedy of the commons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…