Sina hamu ya tendo la ndoa

Sina hamu ya tendo la ndoa

Tukiambiwa tusiwe serious na jf tuwe tunaelewa
 
Napata hamu siku Niko period tu .ikiisha wala sijiskii hata.japo sina mtu ila hamu iwepo jamani nijione mkamilifu.naombeni tiba isiwe mayai yameisha huko ndani.

Pole, Ukilala hamnaga ndoto zinakuijia kama unapigwa mpini hv?
 
Back
Top Bottom