Upo wapi tuende kwa mwenyekiti ww weka 10000 mm naweka lakiNimeweka mezani laki moja na wadau wwili wa simba ambao wameweka
50,000 kila mmoja
Saa kumi kamili jioniSaa ngapi kwa saa za hapa
Huwezi juaYanga hii ya dakika 45 za kwanza? Au yanga nyingine? Na kocha huyo huyo George Lwandamina? Kwa kocha huyo msitegemee ushindi ugenn
Mkuu mm ni mpenzi wa yanga lkn Leo tunatolewa rasmi tatizo si wachezaji tatizo ni kuwa na kocha bonge la mzigoHuwezi jua
Kabisa! Hata sub zake huwa za hovyo sana akifanya sub ujue ndio timu ameivuruga. Kwa tulipofikia hata hamu ya kusema uwashe tv uangalie yanga yote inatoweka mana hakuna raha zaidi ya karaha.Mkuu mm ni mpenzi wa yanga lkn Leo tunatolewa rasmi tatizo si wachezaji tatizo ni kuwa na kocha bonge la mzigo
Hanalolote jipya tapeli tuKabisa! Hata sub zake huwa za hovyo sana akifanya sub ujue ndio timu ameivuruga. Kwa tulipofikia hata hamu ya kusema uwashe tv uangalie yanga yote inatoweka mana hakuna raha zaidi ya karaha.
Ya mungu mengi usikate tamaa kirahisi hivyoMimi ni yanga daima but leo tuko out
Sijui walimpendea nini?Hanalolote jipya tapeli tu