Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

Na ZANACO wamemkodisha KICHUYA [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaz ipo jiandaen kwenda kuwapokea washiriki uwanja wa ndege
 
Yanga gani hiyo unayozungumzia, hii ya kufanya substitution za ajabu ajabu? Kocha hajui kusoma mchezo, na hata hicho anachosoma vibaya, wachezaji hawamuelewi
 
Hawa wazee wanaweza wang'oa vijanaeee
 
Yanga gani hiyo unayozungumzia, hii ya kufanya substitution za ajabu ajabu? Kocha hajui kusoma mchezo, na hata hicho anachosoma vibaya, wachezaji hawamuelewi
Itakuwa anatumia lugha ya peke yake mana sio kwa kuharibu timu kiasi kile.

Kama mzimiaji kila yanga ikicheza unaweza kuzimia aisee
 
Reactions: BAK
Manufaa binafsi ambayo yanatukosesha raha lundo la mashabiki tulio nyuma ya timu.
Hizi timu kubwa emmyta watu wanaziendesha kwa manufaa yao bila kuangalia munufaa ya timu na athali kwa wapenzi na mashabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…