GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Kunako kaa ule mwiko wao kule nyumaAshikilie wapi tena
Daah sisi watz ni wanafki sana pale mtu akiondoka kwenye timu unayoishabikia.Feisal ni mchezaji wa kawaida sana..msiyafanye mambo yawe makubwa sana.
Mchezaji amesajiliwa bila vipimo..hili nalo mbona hujalisemea kama jipu lingine?
TFF wajitahidi kuhamasisha upimwaji wa wachezaji, mafunzo na ujenzi wa academies za mpira kwa wachezaji wa ndani ili wakue katika misingi bora ya mpira, elimu ya mpira, na mikakati (technical and tactical) na mengineyo ya kiufundi ya mpira.
Hivyo ndivyo vinavyopandisha thamani ya mchezaji..na sio maneno ya midomoni.
Hio thamani aliyopewa ni kubwa sana kuliko uwezo wake..tusiwe wanafki.
Mtu ana concentration ndogo sana uwanjani..sometimes anazubaaga mno kwenye game...na hivi hajacheza siku nyingi..
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Hujui mpira, mpira ni biashara boss mchezaji asipo jipromote mwenyewe atabaki hapo hapo alipo, Yanga walitumia akili kubwa kudeal na akili yake, walijua hata kama wangempromote vipi haikuwa guarantee yeye kubaki Young Africans hiyo ni akili ndugu, ujinga alioufanya umedhihirisha hilo ,shida ya vijana wetu ni kukosa akili na mbaya zaidi hawana mameneger wenye brain wamebakia ushabiki.Ukiangalia mpunga anaokula Aziz Ki, Morrison, Mayele na wengineo yalikuwa ni matusi makubwa sana kwa wachezaji wazawa na kwa kiwango ambacho kimeoneshwa na Fei Toto.
Fei alikuwa ana offer more than Aziz Ki au huyo mabangi Morrison ambaye hata game hachezi consistent huku akiwapiga pesa Simba na Yanga kijinga sana. Kisinda hopeless Kabisa lakini nae anakula salary zaidi Fei.
kama Rais wa Klabu na kama angekuwa ni well brained for the country interest; he should have seen kuwa kuna haja ya kumpromote Salum na kufanya amendement kwenye mkataba kwa kuwa kiwango chake kimepanda regardless ya life span ya mkataba.
Hii ingeonesha uzalendo na ku promote vipaji vya ndani hasa ukizingatia wengi wanakuwa watoto na hawana exposure wala wasimamizi. They need to learn na kuwa guided.
Kukosa exposure na mental strength kwa hawa wachezaji wa ndani wenye uwezo isiwe sababu ya ku take advantage.
Ni Ujambazi na Umafia wa hali ya juu uliyofanywa na Rais wa Yanga dhidi ya kipaji cha ndani, na hakika ungeendelea kujitia much know, nadhani mogadishu ulikuwa unaichungulia in a very serious note.
Ifike mahali TFF wachaguliwe viongozi wenye THINKING, tumejaza mautumbo utumbo na mabogus hapo TFF, ni lazima TFF itafute namna bora ya kupromote na ku protect mikataba na Maslahi ya wachezaji wa ndani kwa kuwa huu ndjo msingi wa kuwa na timu bora ya Taifa.
Ni aibu kwa TFF na Yanga suala kama la Fei kuamuliwa na Rais wa JMT, kuna haja ya kufanya maboresho kwenye uongozi wa TFF.
TFF mna homework, mnatakiwa kutengeneza mfumo imara kwa wazawa na kuhakikisha mikataba yao ina clause ya kuwaweka huru au kufanya amendement ya posho zao kulingana na kiwango chake cha sasa na anacho Offer kwenye timu badala ya kufanya kazi kama robot eti nasimamia misingi ya mkataba.
Mkataba aliandika Mungu huo!
Nchi za kiarabu wanatoa vipaji vingi na wana good National Team kwa sababu ya uzawa, there is a very clear line kati ya wazawa na wageni na linapokuja suala la uzawa. Tunaweka utaifa mbele na hii sera ndio ina build mpira kwenye nchi za wenzetu.
Kipaji cha Fei unakiweka nje almost 6 months eti nasimamia misingi ya taasisi. Absurd Kabisa, unakosaje consensus na mchezaji mzawa, huku unamlipa Morrison over 15M, Aziz Ki Over 20M, Fei 4M eti alisaini mwenyewe seriously?
What do they really offer to the club? as compared to Fei?
Fei ananidhamu, kipaji, sio mlevi , ana fundishika and the most important, he has great future in his career path.
La mwisho lakini ambalo sio la mwisho Kabisa, TFF tunawapa ONYO na hii ni RISALA kwenu kaeni chini mtengeneze robust system ambayo itapromote vipaji vya ndani pamoja na kurahisisha ammendement kwa wachezaji wa ndani ambao viwango vimekuwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mikataba ya wachezaji wa ndani sio kandamiza just because wachezaji wetu hawana exposure na wasimamizi.
Maamuzi ya Fei SALUM yalikuwa ni sahihi, kwa wakati sahihi na muda sahihi na mahali sahihi for the national National interest na tuwapongeze Azam kwa kuheshimu vipaji vya ndani period
Megalodon.
Wewe unalipwa shi ngapi?Ukiangalia mpunga anaokula Aziz Ki, Morrison, Mayele na wengineo yalikuwa ni matusi makubwa sana kwa wachezaji wazawa na kwa kiwango ambacho kimeoneshwa na Fei Toto.

Feisal; sina tatizo na maslah.
Masoud; kwahiyo tatizo lako ni nini?.
Feisal; Tatizo langu ni Rais wa Yanga!!,
masoud;Kwahiyo huna tatizo na mkataba wako na Yanga ?,
Feisal; Sina kabisa wala sina tatizo la mshahara.
Mashabiki wa KARIA FC; feisal anastahili kukipwa zaidi ya Aziz Key na Morrison[emoji28][emoji28], Bata waheed nyie.
Kipindi fei anapewa ule mkataba na hile pesa kiwango chake akikua hiki Cha Leo alistahili na kipindi azizi ki anakunja ule mkataba na hile pesa alistahili kiwango chake akikua hiki Cha Leo kwahyo yote sawa tu eng rais yupo sahii 100%
Mi nlichowaza tu pepo ngumu sana wote wamekwenda hijja hao lkn mwingine anakwambia kapewa 100m kwa mara moja mwingine kwa installment nne , kasanishwa miaka mitatu badala ya miwili mwingine anamkataba wa miaka minne...
Sasa apo uswahina na kwenda kuhiji kote uko lkn kuna mmoja muongo apo
Hujui mpira, mpira ni biashara boss mchezaji asipo jipromote mwenyewe atabaki hapo hapo alipo, Yanga walitumia akili kubwa kudeal na akili yake, walijua hata kama wangempromote vipi haikuwa guarantee yeye kubaki Young Africans hiyo ni akili ndugu, ujinga alioufanya umedhihirisha hilo ,shida ya vijana wetu ni kukosa akili na mbaya zaidi hawana mameneger wenye brain wamebakia ushabiki.
Daah sisi watz ni wanafki sana pale mtu akiondoka kwenye timu unayoishabikia.
Alafu wazawa hatupedan kabisa ,kwenye swala la fei nilitegemea mashabik wangesimama na fei Ili kushinikiza viongoz wamuongeze dogo awe anakula hata 10m na nina Iman angekubal.
Fei kilichomtoa yanga ni dharau za rais wenu juu yake.
Tuweke unafki pemben Leo hii wakupe Aziz k na fei utaondoka na Nan ?
Au Morrison na fei Nan ana faida Kwa timu?
Yaan Aziz k alambe 27 na Morrison 23 alaf fei et 4 upumbavu kabisa huu .
Ifike hatua tupendane sisi watz tuache ma wivu .
Ukimsikiliza fei Kwa undan unaona kabisa dogo alikua ameridhika na hiyo 4m ila kilichomtia ndimu ni dharau za wazwaz kwake na wakijua hajitambui
Hakika ndugu ,alafu ukitaka kuelewa walikua wanafanya makusud Kwa dogo janja ,mbona saiz wamejiwah Kwa bacca na kuextend mkataba wake.Umenena haki tupu na hii ndio hoja ya msingi
Wenyewe wanasema Fei alisaini mwenyewe ...... ni ujinga kuwa na Rais Kama Huyu :
ni Lazima kuwa Na Rais anayepromote wachezaji wa ndani . Tunajua wachezaji wa ndani ni washamba Na sio wajanja....... hiyo sio sababu ya sisi kutowapa stahiki yao.
Kama mchezaji wa ndani ametolewa Singida Kwenda Yanga kwa mshahara wa mil 2 ; kwa mkataba wa miaka 3 then anafika Yanga ndani ya mwaka anakuwa ni Tishio......... ni upumbavu kusema kwamba alisaini mwenyewe mil 2 :
kama Rais Na ikiwa ni sehemu ya ku prompte vipaji vya ndani ..... ni lazima umuite kijana kwa meza na kufanya review na amendement pamoja na kujenga uwiano wa wale wachezaji wanaokula hela ndefu.
Kutofanya hivi ni ujambazi na kukosa skills za uongozi na ni njia ya kuuwa national talents ambazo zitatumika kwa national team
Fei alianza hoja hizi Zamani sana , Na huyo Rais wa mchongo akawa anapiga danadana. Alikuja kuwa serious dogo alipoondoka ndio akaanza kutake things serious Na kumuita dogo njoo juu ya meza. Wakati huo dogo alishafanya maamuzi Na ameshamuona Rais ni mzushi tu .....
Kwahiyo maamuzi ya Fei ni sahihi kw national interest
Ukiangalia mpunga anaokula Aziz Ki, Morrison, Mayele na wengineo yalikuwa ni matusi makubwa sana kwa wachezaji wazawa na kwa kiwango ambacho kimeoneshwa na Fei Toto.
Fei alikuwa ana offer more than Aziz Ki au huyo mabangi Morrison ambaye hata game hachezi consistent huku akiwapiga pesa Simba na Yanga kijinga sana. Kisinda hopeless Kabisa lakini nae anakula salary zaidi Fei.
kama Rais wa Klabu na kama angekuwa ni well brained for the country interest; he should have seen kuwa kuna haja ya kumpromote Salum na kufanya amendement kwenye mkataba kwa kuwa kiwango chake kimepanda regardless ya life span ya mkataba.
Hii ingeonesha uzalendo na ku promote vipaji vya ndani hasa ukizingatia wengi wanakuwa watoto na hawana exposure wala wasimamizi. They need to learn na kuwa guided.
Kukosa exposure na mental strength kwa hawa wachezaji wa ndani wenye uwezo isiwe sababu ya ku take advantage.
Ni Ujambazi na Umafia wa hali ya juu uliyofanywa na Rais wa Yanga dhidi ya kipaji cha ndani, na hakika ungeendelea kujitia much know, nadhani mogadishu ulikuwa unaichungulia in a very serious note.
Ifike mahali TFF wachaguliwe viongozi wenye THINKING, tumejaza mautumbo utumbo na mabogus hapo TFF, ni lazima TFF itafute namna bora ya kupromote na ku protect mikataba na Maslahi ya wachezaji wa ndani kwa kuwa huu ndjo msingi wa kuwa na timu bora ya Taifa.
Ni aibu kwa TFF na Yanga suala kama la Fei kuamuliwa na Rais wa JMT, kuna haja ya kufanya maboresho kwenye uongozi wa TFF.
TFF mna homework, mnatakiwa kutengeneza mfumo imara kwa wazawa na kuhakikisha mikataba yao ina clause ya kuwaweka huru au kufanya amendement ya posho zao kulingana na kiwango chake cha sasa na anacho Offer kwenye timu badala ya kufanya kazi kama robot eti nasimamia misingi ya mkataba.
Mkataba aliandika Mungu huo!
Nchi za kiarabu wanatoa vipaji vingi na wana good National Team kwa sababu ya uzawa, there is a very clear line kati ya wazawa na wageni na linapokuja suala la uzawa. Tunaweka utaifa mbele na hii sera ndio ina build mpira kwenye nchi za wenzetu.
Kipaji cha Fei unakiweka nje almost 6 months eti nasimamia misingi ya taasisi. Absurd Kabisa, unakosaje consensus na mchezaji mzawa, huku unamlipa Morrison over 15M, Aziz Ki Over 20M, Fei 4M eti alisaini mwenyewe seriously?
What do they really offer to the club? as compared to Fei?
Fei ananidhamu, kipaji, sio mlevi , ana fundishika and the most important, he has great future in his career path.
La mwisho lakini ambalo sio la mwisho Kabisa, TFF tunawapa ONYO na hii ni RISALA kwenu kaeni chini mtengeneze robust system ambayo itapromote vipaji vya ndani pamoja na kurahisisha ammendement kwa wachezaji wa ndani ambao viwango vimekuwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mikataba ya wachezaji wa ndani sio kandamiza just because wachezaji wetu hawana exposure na wasimamizi.
Maamuzi ya Fei SALUM yalikuwa ni sahihi, kwa wakati sahihi na muda sahihi na mahali sahihi for the national National interest na tuwapongeze Azam kwa kuheshimu vipaji vya ndani period
Megalodon.
Mwishoni umekubaki kwa tabu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kikubwa Fei ashaondoka haya mengine yatabaki kua maoni binafsi.
Fei keshaondoka, kama mlikuwa na haki kwanini mkamuacha aondoke kirahisi hivyoIngependeza ungeongezwa kwenye jopo la mawakili wa Fei CAS ukashusha nondo kama hizi kwa hakika angeshinda kongole sana .
Engineer Hersi mtu smart sana.
Hizo akili unazozungumzia wewe sijui ni akili gani[emoji28]..
Halafu katika football mbona kawaida sana haya mambo ya salary..
Wakati Bukayo Saka akiwa katika peak alikua anachukua robo ya mshahara wa Mesut ozil ambaye ni bench warmer..!
Hoja ya kulipwa vibaya au vizuri ipo katika negotiations ya contract..
Ukiwa mjinga mjinga kama Fei when it comes to negotiation lazima upigwe pa kubwa.
Yaani kama vile Laudit Mavugo alipokua anakunja hela ndefu alafu shiza kichuya akichukua hela ya madafu.