Sina Imani na Akili ya Rais wa Yanga SC

Bado hujaelewa mada mkuu;
Nimekwambia husianisha maelezo yako na huo ulazima wa vilabu kuwalipa pesa wazawa sawa na internal prayers wasio na viwango sawa?.
 
Nimekwambia husianisha maelezo yako na huo ulazima wa vilabu kuwalipa pesa wazawa sawa na internal prayers wasio na viwango sawa?.

Ndio maana nasema hujaelewa Chief ; ungeelewa mada hili swali usingeuliza
 
Umeandika kwa hisia kali sana ila nakubali,ligi inabebwa na wageni haswa (Simba na Yanga) kitu ambacho naona sio sawa, matokeo ligi inaonekana bora ila timu ya taifa haina mbele wala nyuma.
Ulitakaje ? Ligi ionekane dhaifu? Wachezaji wazawa lazima waoneshe walichonacho na wajiuze nje, they have to pull up
 
Hijja ni aina nyingine ya Utalii kama tourism nyingine za Mbuga za wanyama

Haihusiani na pepo.

Huitaji kwenda hija ili uingie peponi

[emoji28]

Kaka hii umenipa mpya kumbe ni utalii tu [emoji1373]
 
Kadi yako namba ngapi? Mara ya mwisho kulipa kadi ya uamachama ni lini??
 
Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…