juan de otaru
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 211
- 113
Mbona mbwiga ni yanga, hata hao simba sc wanawasemaga sema hawajasema alternatives( means) ya kuendesha klabu zaidi ya hiyoLeo nilikuwa nasikiliza kipindi cha michezo hapo clouds,fatma likwata ameandaa makala ya kumponda manji na kuwadharau wanachama wa yanga,hv anajua gharama za kuendesha timu?au wanaropokaropoka Tu?si waanzishe timu Yao kama wanaona rahisi .mi nahisi crew nzima ya clouds fm Ni mashabiki WA mikia
mnazi kasema manji kama yanga kama mkoloni,Tehteh..Mnazi kasemaje?..
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha michezo hapo clouds,fatma likwata ameandaa makala ya kumponda manji na kuwadharau wanachama wa yanga,hv anajua gharama za kuendesha timu?au wanaropokaropoka Tu?si waanzishe timu Yao kama wanaona rahisi .mi nahisi crew nzima ya clouds fm Ni mashabiki WA mikia
niliisikiliza Jana niajua lazima watoke shimoni..kweli ngumu kumeza hadi wewe umeishindwa kuimeza
Kwahiyo kubadili mfumo ni kukodisha team bure?[emoji12] [emoji12] [emoji12]faida ya mfumo wa uanachama kwa klabu ya soka ni ushindi tuu hakuna kitu kingine sasa inatokea timu ina inaishinda Ndanda na Simba miaka nenda miaka rudi timu kimataifa haitambi wanachama hatuna furaha bora kubadilisha mfumo kabisa ili timu ijaribu hatua nyingine
kumbe mepewa shilingi ngapi?Kwahiyo kubadili mfumo ni kukodisha team bure?[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nani? acha uoga...Ngumu kumeza[emoji1] [emoji1] [emoji1]Tena kuna mtangazaji mmoja ni mnazi wa simba waziwazi hivyo usitarajie yazungumzwe mazuri upande wa pili
%51bil 20maana yake100% Ni bilioni 39.mnajiona WA maana kumbe thamani ya simba Ni ndogo kiasi hicho hats bei ya pogba kubwa.#mbumbumbukumbe mepewa shilingi ngapi?
shaffih dauda bila kufichaTena kuna mtangazaji mmoja ni mnazi wa simba waziwazi hivyo usitarajie yazungumzwe mazuri upande wa pili
Mbwiga ni simba damuMbona mbwiga ni yanga, hata hao simba sc wanawasemaga ? sema hawajasema alternatives( means) ya kuendesha klabu zaidi ya hiyo
ni yanga, marehemu baba yake ndio sscMbwiga ni simba damu