Sina imani na Clouds Fm sport extra

Tena kuna mtangazaji mmoja ni mnazi wa simba waziwazi hivyo usitarajie yazungumzwe mazuri upande wa pili
sidhani hilo ,mbona shafii ni ssc lakini huwa anaongea ukweli unaogusa pande zote
 
Washawasema Simba mara nyingi sana ksenye hiyi ngumu kumeza... Hata wewe mtoa uzi leo imekushinda kumeza. Ikaushie tu. Usitoke povu.
 
Siku zote ukweli ni mgumu kumeza

Sent from mTalk
ukweli upi?manji allisema thamani ya yanga Ni kubwa kuliko hizo bil 20 mnazojidaia,yaani timu yenu Ina thamani ya bili 39tu,mwacheni aifanyie biashara yanga cc tunachotaka Ni mafanikio uwanjani tu.kipi Nora kiiza au kukodisha #mbumbumbu fc
 
Ngumu kumeza, inauma lakini ndo ukweli. Na lengo la kile kipindi ndo hicho,ikuume weee ili muweze kuendesha hizo timu zenu za kwenye magazeti ya bongo kwa mafanikio. Hivi inaingia akili kweli kwa zaidi ya miaka 80 timu hazina hata uwanja Wa mazoezi?
 
Shida mmezoe kusifiwa hata katka hakuna, simba na yanga zinaendeshwa kama siasa za bongo zilivyo. Pole sana ila kimoyo moyo unajua kuna ka ukweli.
 
Acha kusikiliza tuendelee sisi ukweli hakuna anayeupenda
 
ukweli upi?manji allisema thamani ya yanga Ni kubwa kuliko hizo bil 20 mnazojidaia,yaani timu yenu Ina thamani ya bili 39tu,mwacheni aifanyie biashara yanga cc tunachotaka Ni mafanikio uwanjani tu.kipi Nora kiiza au kukodisha #mbumbumbu fc

Mimi ni mwanachama wa YANGA na nilikuwa kwenye mkutano siku ile Manji aliulizwa ukumbini na mwanachama Kwahiyo thamani ya kukodisha nembo ya Klabu ni shilingi ngap Manji alijibu Mwaka Jana Amepata hasara billion 1.5 Mwaka huu huenda ikafika billion 1.9 Kwahiyo kwasasa Klabu inajiendesha kihasara Kama tukianza kupata faida Klabu itachukua 25% Mimi 75% Hivi inaingia akilini kweli,Clouds wameongea Kweli Ndiyo maana Mimi naipenda clouds kuacha ujinga ujinga wao lakini kuna sehemu wanasimamia Uadilifu na Taaluma
 
Kwa matumizi yapi mpaka timu ipate hasara ya bil 2 yaani milion 2000 mwambieni awataje na kipato kwanza...
 
Yaani hata leo wameandaa makala hiyo iliyokaa kichochezi kabisa. Hawa jamaa wanaonyesha waziwazi kabisa kuwa hawaipendinYanga na wanasahau maadili ya kazi yao.
 
Kama sio lazima kila mtu aipende Yanga, vivyo hivyo sio kazima kila mtu apende mfumo wa ukodishaji huu aliouasisi Manji. Na pia kama vile baadhi yenu mlivyojipa haki ya kukubali kila wazo la Manji, watu wengine pia wana haki ya kupinga au kuwa na mtazamo tofauti.

Ni mawazo tu ya uendeshaji ndio watu wanapishana, haina uhusiano na kuipenda au kuichukia Yanga.
 
Ngum kumeza binafs nailubali, maana huwa hawaangalii iwe simba, yanga au tff
 
Yaani hata leo wameandaa makala hiyo iliyokaa kichochezi kabisa. Hawa jamaa wanaonyesha waziwazi kabisa kuwa hawaipendinYanga na wanasahau maadili ya kazi yao.
Tuache ujinga Watanzania. Tukubali kuambiwa ukwe.
 
Manji atuachie Yanga yetu.
Aanzishe timu yake aipe kina Quality Sports.

Sisi tupo na mzee akilimali,tunataka iendelee kizamani na mfumo wa uanachama
 
Umesikia wapi timu imekodishwa?
Sasa hivi mnaitwa Yanga yetu hao vijana waliyaona haya,leo kiko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…