Na wameanza kuongea kutumia hizo refference kuwa shoot on target ni moja na hamna cha maanaMkakati wa kutaka kutuaminisha kwamba simba haicgezi vizuri ili tukurupuke tumfukuze kocha tuanze kuahangaika. Siku unakumbuka watabiri walishasema hafiki krismasi
Pole mkuuMm miaka yote kitu azam tv huws wananiboa ni kwenye kufanya reply's kwamba hawaangalii mpira mda huo upo kwenye motion gani wao wanafanya reply tu, kuna mda reply inakata unakuta kuna tukio jingine la faulo na hujaona imefanyikaje wao walikuwa wanaonesha reply
Halafu sasa reply yao inakimbizwa mnooo kama ni offside hata haionekani vizuri usipokuwa makini.Mm miaka yote kitu azam tv huws wananiboa ni kwenye kufanya reply's kwamba hawaangalii mpira mda huo upo kwenye motion gani wao wanafanya reply tu, kuna mda reply inakata unakuta kuna tukio jingine la faulo na hujaona imefanyikaje wao walikuwa wanaonesha reply