Sina la kuwadai viongozi wa Simba

Sina la kuwadai viongozi wa Simba

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
242
Reaction score
676
Katika msimu ambao mimi kama shabiki wa simba nimeridhishwa na usajili wa club yetu, tena kiufundi na kwa quality players basi ni msimu huu.Management imejitahidi sana kusajili kwa kuangalia mahitaji ya timu na umri.

Simba imesajili wachezaji waliofanya vizuri kwenye ligi zao.Kilichobaki tu ni kocha atafute chemistry mzuri uwanjani, hakuna mchezaji MBOVU, narudia tena wachezaji wote waliosajiliwa na simba msimu huu WOTE walikuwa ni first 11 za vilabu vyao na wote wameacha PENGO kwenye vilabu vyao.

Wawa out ....... Outarra in
Kagere out.......Phiri in
Mugalu out...... Manzouk in
Morrison out...... Okhra in
Bwalya out........Okwa in
Thadeo out.......Akpan in

C.E.O Barba na Management ya simba hatuna cha kuwalaumu.Kocha ashindwe yeye tu na wachezaji wake.

Didas Tumaini
ahmedabdallah05-20220803-0001.jpg
 
uzuri ni kwamba hizi mashine sio za kuokoteza au kukosa timu. Zimechomolewa kwenye nchi na timu kubwa wakiwa kwenye kiwango. Suala la kufika nusu CAF halijawa siasa,kuna mipango.
Simba imesajili watu wenye kasi na kulazimisha matokeo.

Kocha ashindwe yeye. Pia wazawa tuache misumari,club inatumia pesa nyingi. Haiwezekani mtu kapewa 400m halafu wewe unampiga msumari wa elfu 60
 
Kwani Manzoki si ni mpaka dirisha dogo ndio atasajiliwa?
 
uzuri ni kwamba hizi mashine sio za kuokoteza au kukosa timu. Zimechomolewa kwenye nchi na timu kubwa wakiwa kwenye kiwango. Suala la kufika nusu CAF halijawa siasa,kuna mipango.
Simba imesajili watu wenye kasi na kulazimisha matokeo.

Kocha ashindwe yeye. Pia wazawa tuache misumari,club inatumia pesa nyingi. Haiwezekani mtu kapewa 400m halafu wewe unampiga msumari wa elfu 60
Wakulungwa wana misumari sana[emoji23]
 
uzuri ni kwamba hizi mashine sio za kuokoteza au kukosa timu. Zimechomolewa kwenye nchi na timu kubwa wakiwa kwenye kiwango. Suala la kufika nusu CAF halijawa siasa,kuna mipango.
Simba imesajili watu wenye kasi na kulazimisha matokeo.

Kocha ashindwe yeye. Pia wazawa tuache misumari,club inatumia pesa nyingi. Haiwezekani mtu kapewa 400m halafu wewe unampiga msumari wa elfu 60
Mkuu unajua mpaka Bei ya misumari?[emoji1787][emoji1787]
 
uzuri ni kwamba hizi mashine sio za kuokoteza au kukosa timu. Zimechomolewa kwenye nchi na timu kubwa wakiwa kwenye kiwango. Suala la kufika nusu CAF halijawa siasa,kuna mipango.
Simba imesajili watu wenye kasi na kulazimisha matokeo.

Kocha ashindwe yeye. Pia wazawa tuache misumari,club inatumia pesa nyingi. Haiwezekani mtu kapewa 400m halafu wewe unampiga msumari wa elfu 60
😂😂😂 Msumali wa elfu 60
 
Kakudanganya nani? Mwamba ni deal done

Na leo katua Dar yeye PEKE yake
Ok, tufanye ipo hivyo lakini bado hajafanya mazoezi na wenzake na zimebaki siku chache sana
 
Kusema ukweli hata mimi roho nyeupe. Sina la kuwadai viongozi, ni wachezajinna kocha watupe quality. Simba hii ni ya moto sana. Angeipata Uchebe au kishingoo tungekuwa tunapiga watu 6 daily
Moja ya makocha waliowahi kubadili mfumo na falsafa za uchezaji wa Simba Sc, ni hao makocha wawili.

Kishingo alikuwa ni hatari😂.
 
Katika msimu ambao mimi kama shabiki wa simba nimeridhishwa na usajili wa club yetu, tena kiufundi na kwa quality players basi ni msimu huu.Management imejitahidi sana kusajili kwa kuangalia mahitaji ya timu na umri.

Simba imesajili wachezaji waliofanya vizuri kwenye ligi zao.Kilichobaki tu ni kocha atafute chemistry mzuri uwanjani, hakuna mchezaji MBOVU, narudia tena wachezaji wote waliosajiliwa na simba msimu huu WOTE walikuwa ni first 11 za vilabu vyao na wote wameacha PENGO kwenye vilabu vyao.

Wawa out ....... Outarra in
Kagere out.......Phiri in
Mugalu out...... Manzouk in
Morrison out...... Okhra in
Bwalya out........Okwa in
Thadeo out.......Akpan in

C.E.O Barba na Management ya simba hatuna cha kuwalaumu.Kocha ashindwe yeye tu na wachezaji wake.

Didas TumainiView attachment 2314201
JamiiForums483970616.gif
 
Kusema ukweli hata mimi roho nyeupe. Sina la kuwadai viongozi, ni wachezajinna kocha watupe quality. Simba hii ni ya moto sana. Angeipata Uchebe au kishingoo tungekuwa tunapiga watu 6 daily
Uchebu hapo ndo chagua bora zaidi yule kocha ndo kaijenga Simba iliyomfia Gomez[emoji123]
 
Back
Top Bottom