Sina leseni ya Udereva lakini nimeendesha gari miezi sita

Sina leseni ya Udereva lakini nimeendesha gari miezi sita

jajawajaja

Member
Joined
Jul 3, 2020
Posts
5
Reaction score
101
wana jamii forum, habarini za majukum.

naombeni ushauri ,ya kwamba ni hivi ninajua kuendesha gari vizuri sana yapata miaka 6 sasa Mara zote nilikuwa naendesha mjini tu hap . nimepata safari ya gafla kutoka DAR KWENDA MORO gari binafs ipo na mafuta yapo ya kutosha kwenda na kurudi ila sijawah kumiliki leseni je udereva na kesho asubui natakiwa niwe moro nifanye jambo chap nirud je bila leseni naweza nikatoboa na hawa trafic wetu.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hapa Dar inawezekena tu. Nilishaendesha miezi mitatu hapa mjini bila leseni, ilikuwa imepotea.

Ila usiombe ukafanya kosa ukasimamishwa na traffic.
 
Kwa miaka 6 unajua kuendesha gari na unaendesha na bado unaona ni sawa tu kutokuwa na leseni mkuu. Hutaki kutafuta leseni sababu ya muda au sababu polisi hawakukamati au sababu hutaki tu?
 
wana jamii forum, habarini za majukum.
naombeni ushauri ,ya kwamba ni hivi ninajua kuendesha gari vizuri sana yapata miaka 6 sasa Mara zote nilikuwa naendesha mjini tu hapa . nimepata safari ya gafla kutoka DAR KWENDA MORO gari binafs ipo na mafuta yapoya kutosha kwenda na kurudi ila sijawah kumiliki leseni je udereva na kesho asubui natakiwa niwe moro nifanye jambo chap nirud je bila leseni naweza nikatoboa na hawa trafic wetu.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Ningeona uzi mapema ningekushauri kitu
 
Kak endesha gar Kama ina Kila kitu aendesha kbsa fata Sheria zote za barabarani ...mm nimetoa gar mbeya cna Cha lesseni Wal Cha mama ake Lesseni kusimama na simama vxr wakisimamisha ila weka elf mbilimbil zizizopunfua 20 uwafinyie kimtindo cna lessen na nategemea kutua dar kwa gar binafs
 
Leseni multipurpose ni pesa tu,unaweza kwenda popote na wakati wowote.

unaweza ukawa na leseni ukakosa pesa na bado ukakwamishwa tu na ma nurse

leseni yako ya kwanza ukitaka safiri safari ya mbali iwe ni pesa,mengine yote mtaelekezana.
 
Apa nasafari ya kutoka mbeya to mwanza na sina leseni lakini ni dereva mzuri tu nimeshaandaa laki moja yangu ya buku mbili mbili last time nimepiga mafinga dodoma bila leseni kwenda na kurudi lakin ilinitoka elfu hamsini
 
wana jamii forum, habarini za majukum...

Unayajua yote usiombe ushauri, kama una mkataba hautapata dharura yeyote ni sawa!

Kama umesahau leseni sawa, kutokuwa nayo kabisa kuna siku utajuta!
 
Back
Top Bottom