Hii ni moja ya dawa muhimu ktk huu uzi, sasa wewe kama mgonjwa usiinywe yakukute[emoji16][emoji16][emoji16]Utaona faida ya leseni, pale umepata ajali na haswa mtu amefariki kutokana na hiyo ajili.
Hapo ndipo utalia na kusaga meno. Unajiona mjanja kuendesha chombo cha moto bila leseni, omba hichi kitu kisi kutokee...
Acheni kutoa siri. Mitrafiki ipo humu itaanza usumbufu.Kiukwel niliwahi kuendesha gari Dar miaka 4 na nusu hv.leseni yangu ya kwanza nimeipata mwaka 2014 na hadi hii leo sijawahi kusimamishwa na trafiki ata siku moja
Lakini gharama ya leseni si elfu sabini tu?Apa nasafari ya kutoka mbeya to mwanza na sina leseni lakini ni dereva mzuri tu nimeshaandaa laki moja yangu ya buku mbili mbili last time nimepiga mafinga dodoma bila leseni kwenda na kurudi lakin ilinitoka elfu hamsini
Humu kila mtu dereva. Bye
Siku ukipata ajali utajieleza vizuriwana jamii forum, habarini za majukum.
naombeni ushauri ,ya kwamba ni hivi ninajua kuendesha gari vizuri sana yapata miaka 6 sasa Mara zote nilikuwa naendesha mjini tu hap . nimepata safari ya gafla kutoka DAR KWENDA MORO gari binafs ipo na mafuta yapo ya kutosha kwenda na kurudi ila sijawah kumiliki leseni je udereva na kesho asubui natakiwa niwe moro nifanye jambo chap nirud je bila leseni naweza nikatoboa na hawa trafic wetu.
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Sasa VX-R askari atakwambia nini zaidi ya kujichekesha chekesha tu...na kuomba shavu kwa kijana mwenzie πππ !!! Zaidi ataomba namba tu ili ajipendekeze ukimtia buku 2 anatulia.Kak endesha gar Kama ina Kila kitu aendesha kbsa fata Sheria zote za barabarani ...mm nimetoa gar mbeya cna Cha lesseni Wal Cha mama ake Lesseni kusimama na simama vxr wakisimamisha ila weka elf mbilimbil zizizopunfua 20 uwafinyie kimtindo cna lessen na nategemea kutua dar kwa gar binafs
Kuna jamaa alikua anapush TLC 8 generation hana leseni akapata ajali akagonga watu 3 walikua kweny guta wakafarik wote jamaa kesi iligeuka kuwa mauaji.Sasa VX-R askari atakwambia nini zaidi ya kujichekesha chekesha tu...na kuomba shavu kwa kijana mwenzie [emoji23][emoji23][emoji23] !!! Zaidi ataomba namba tu ili ajipendekeze ukimtia buku 2 anatulia.
lazma uizime kesi kwa hela ndefuKuna jamaa alikua anapush TLC 8 generation akapata ajali akagonga watu 3 walikua kweny guta wakafarik wote jamaa kesi iligeuka kuwa mauaji,s
Lesen ni kitu cha muhimu kuwa nacho utatoa buku mbili ila ukisababisha ajal wanabadilika jamaa hawaelewi kitu
Ukikutana na familia ya watu wanaojielewa utayumba sana had uje uzime kesi vinginevyo unaweza kufungwalazma uizime kesi kwa hela ndefu
Lessen yenyewe laki na nusuUkikutana na familia ya watu wanaojielewa utayumba sana had uje uzime kesi vinginevyo unaweza kufungwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa VX-R askari atakwambia nini zaidi ya kujichekesha chekesha tu...na kuomba shavu kwa kijana mwenzie [emoji23][emoji23][emoji23] !!! Zaidi ataomba namba tu ili ajipendekeze ukimtia buku 2 anatulia.
ikawaje mwisho wake?Kuna jamaa alikua anapush TLC 8 generation hana leseni akapata ajali akagonga watu 3 walikua kweny guta wakafarik wote jamaa kesi iligeuka kuwa mauaji,s
Lesen ni kitu cha muhimu kuwa nacho utatoa buku mbili ila ukisababisha ajal wanabadilika jamaa hawaelewi kitu wanafata utaratibu
Eti leseni laki nusu![emoji15][emoji15]Lessen yenyewe laki na nusu
Usipopita veta ni laki na nusu cuteEti leseni laki nusu![emoji15][emoji15]
Afu kwa full confo kabisa[emoji16][emoji16]