kama akili yako iko fresh then nitakuwa na wasiwasi na unachomaanisha ukizungumzia neno kupenda! kupenda is just taking care of someone, mdogo wako mwenye umri wa miaka 5 katoweka mtaani haonekani huwezi hata kuhangaisha akili kutaka kujua yuko wapi kimempata nini na kwa nini, mama yako mama yako kapatwa na tatizo huwezi kufikiria kumsaidia au rafiki yako wa karibu?? if you can do that then ulishapenda sana 2 bila kujua