Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
Poleni na kazi wapendwa.! sitaki nimlaum Mungu wala yeyot kwa hivi nilivyo.,nimezaliwa miaka zaid ya 20 iliyopita nikiwa ni mtoto niliyetokea katika familia ya kmaskn sana,nilifanya mtihan wa drs la 7 na nikachaguliwa pale KIBAHA SEC. wazaz wang walikuw hawana uwezo wowt wa kunilpia ada,nauli n.k mbay zaid hawana mwamko wa elim .nikiw na miaka 14 nikajkuta natembea umbal mref kwend mishen moja hv kuomb msaada.,nikaktana na mjeruman mmoja pale akanisaidia kwa kunilipia nauli ya kwenda na kurud,nilienda shulen na ile nauli ya kurud nikanunua vfaa mhm vya shule na muda wa likizo nilikuw nabak shulen nikifanya vbarua na kupata hela kdog iliyonisaidia kuendesha maisha yangu,mateso hasa msongo wa mawazo ulikuwa unanitesa sana,machoz ndiyo yalikuwa faraja yangu ya mwisho. nilimaliza pale kwa tabu sana na nikafaulu na nikaenda kdato cha 5..hapa angalau nilikuwa mkubwa kdogo hvyo nikajhusisha na kaz za shamba,shule niliyokuwa nasoma ilikuwa karb na kjjn kwangu hvyo nikawa naomba ruhusa....NATUMIA SIMU NITAENDELEA