King Mutesa
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 227
- 141
Wanajamii Wenzangu.!!
Tangu kubalehe kwangu mpaka sasa najiunga na chuo kikuu sijawahi kuwa na demu wa aina yeyote ile.!!
Nikiwa shule huwa napenda kupiga msuli na nikiwa home huwa napenda kusikiliza muziki..!!
Sasa je Wanajamii nikiwa chuoni niendelee na huu msimamo wangu au ntafute kademu kakuniliwaza..!!
NB-:Haimaanishi mie ni mwanaume mbovu..!!!
Timbulo
Nani kakwambia mademu wanaliwaza? we endelea kuchafua mashuka usiku tu. Ukiwa chuo talipa pesa kwa wamama wa kufua watakufulia, na hivi utakuwa na boom
Sasa je Wanajamii nikiwa chuoni niendelee na huu msimamo wangu au ntafute kademu kakuniliwaza..!!
!
wewe sio mzima...its not normal kwa kijana wa kitanzania mwenye umri kama wako. . . . . . nini kinakufanya usiwe nae?
ushauri wa bure kwa sisi tulio soma vyuo vikuu,mkuu uendapo chuo bora kujifanya mjinga na haya mambo iseeh ni hatari kule unaweza ukawa player matata,wewe kapige msuli mademu wapo.Usisahau kale kamchezo katakusaidia uwe huna mzuka na ma chick.Kuwa makini HIV/AIDS ni hatari na ipo mahali popote.
Napatafakari hapa,
Nikipata jibu nitarudi
wewe sio mzima...its not normal kwa kijana wa kitanzania mwenye umri kama wako. . . . . . nini kinakufanya usiwe nae?
Usimdangannye mdogo wetu uzinzi sio lazima keep it up guy usidanganyike tena watu waliojitunza kama wewe huwa ni rahisi sana kupata hiv achana na mawazo ya ngono kasome utapaparikia mademu vicheche wa chuo uishie kuukwa?kwani umeona umepungukiwa nini kipindi umekaa bila kufanya?
Sijapungukiwa chochote kile ndugu..!
Wanajamii Wenzangu.!!
Tangu kubalehe kwangu mpaka sasa najiunga na chuo kikuu sijawahi kuwa na demu wa aina yeyote ile.!!
Nikiwa shule huwa napenda kupiga msuli na nikiwa home huwa napenda kusikiliza muziki..!!
Sasa je Wanajamii nikiwa chuoni niendelee na huu msimamo wangu au ntafute kademu kakuniliwaza..!!
NB-:Haimaanishi mie ni mwanaume mbovu..!!!
Sijapungukiwa chochote kile ndugu..!
Huna pesa, huna mvuto, mshamba na kitandani huwezi kitu, je akutake mwanamke gani? Acha janja yako ya sizitaki mbichi hizi
Duh, mwanaume unakuwa bikra mpaka 2012 hii? Mimi nilifikiri hizi species zilishatoweka.
Basi kama hujapungukiwa chochote endelea na msimamo wako achana na mawazo mengine