Blaine JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 2,275 Reaction score 1,655 Sep 7, 2012 #21 I assume unavutiwa na wanawake so sioni tatizo; wewe soma tuu wanawake wamejaa kila kona, pata elimu kwanza, kazi pesa halafu wenyewe watajileta.
I assume unavutiwa na wanawake so sioni tatizo; wewe soma tuu wanawake wamejaa kila kona, pata elimu kwanza, kazi pesa halafu wenyewe watajileta.
King Mutesa JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 227 Reaction score 141 Sep 7, 2012 Thread starter #22 Blaine said: I assume unavutiwa na wanawake so sioni tatizo; wewe soma tuu wanawake wamejaa kila kona, pata elimu kwanza, kazi pesa halafu wenyewe watajileta. Click to expand... Shukrani Mwanajamii.! nafanyia kazi haya.!
Blaine said: I assume unavutiwa na wanawake so sioni tatizo; wewe soma tuu wanawake wamejaa kila kona, pata elimu kwanza, kazi pesa halafu wenyewe watajileta. Click to expand... Shukrani Mwanajamii.! nafanyia kazi haya.!
B b2k Member Joined Apr 11, 2012 Posts 89 Reaction score 52 Sep 7, 2012 #23 tunasema graduate with A's not with AIDS. bifsi nakushauri achana na mambo ya wadada kwanza pga shule jenga maisha hawa watakuja tu kwa wakati muafaka. ni hatari sana kuchanganya haya mambo hasa kwa elim kubwa
tunasema graduate with A's not with AIDS. bifsi nakushauri achana na mambo ya wadada kwanza pga shule jenga maisha hawa watakuja tu kwa wakati muafaka. ni hatari sana kuchanganya haya mambo hasa kwa elim kubwa
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,244 Reaction score 1,741 Sep 7, 2012 #24 K*m* hazina inshu!! we piga kitabu mdogo wangu.
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Sep 7, 2012 #25 ngoja uonje utamu wa K utaniambia...alafu wewe utakuwa mzee wa puchu sana
Apollo JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 4,920 Reaction score 3,240 Sep 7, 2012 #26 King Mutesa said: Kwani Ajabu nini..!? heri ya mimi bikra je,hao mabwabwa.! Click to expand... hahahahaaa. Ok kaka. Just watch out. Magonjwa mengi. Tulizana piga buku, hao madem wapo tu, wala hawatoweki duniani.
King Mutesa said: Kwani Ajabu nini..!? heri ya mimi bikra je,hao mabwabwa.! Click to expand... hahahahaaa. Ok kaka. Just watch out. Magonjwa mengi. Tulizana piga buku, hao madem wapo tu, wala hawatoweki duniani.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Sep 7, 2012 #27 Ila siku ukianza, utakuwa kama kipofu kaona mwezi