Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
,..................
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana kwa hilo linalokusumbua.
ila kwa uzoefu wangu mtoto wa kike anakuwa karibu sana na baba ......hata mimi binafsi baba yangu niko karibu nae sana na nikiwa na tatizo yeye ndo wa kwanza kujua na nyumbani wanajua mim ni mtoto wa baba.......lakini sasa baada ya kuzaa acha tu nimejua umuhimu wa mama....sasa hivi mama yangu niko karibu nae sana na mtu akimudhi natamani nimdunde......hii ni baada ya kuingia labor.
ushauri wangu.
jitahidi kuwa karibu na mama mana ana nafasi kubwa sana maishani mwetu na kama kuna mahali alikukosea msamehe na jitahidi kujilazimisha hata kama unakuwa mzito weka hata alarm kwenye simu ikikumbushe kumpigia simu kila siku.....na umtembelee mara kwa mara kwa kadri ya nafasi yako.
Mimi nina maswali kibao, ambayo ni soul searching na huenda yakafukua root cause ya issue yako; are you comfortable kuyajibu jukwaani au kwa PM.
Kwani alikuudhi nini? Ni mama yako mzazi? Umeishi naye kwa muda gan i mean amekulea yeye? Usijilaumu yawezekana mfumo uliokulia ndio umekupa distance ya kutomfeel your mum kwa sana! Yani mi nnavyompenda mamangu natamani hata asikanyage chini! But fikiria mapenzi yake kwako utakuwa mwanzo mzuri wa kummis your mum nakupenda kuwasiliana naye muda mwingi! HAMNA KAMA MAMA!
mi mwenyewe sijui namwonaje mama yangu..
Sina Uhakika kama ninampenda!!
kumbe sipo peke angu..
pole pia
Njoo nikufanyie maombi mjukuu wangu. Hilo pepo lina mamlaka makubwa.
hahaha......labda itakusaidia ila mimi huo ni ushuhuda wangu......sasa hivi na mama yangu pete na kidole.
mie pote tu nipo comfortable sister make nahitaji nitibu hili tatizo
Great.
1. Lini umejihisi hauko karibu sana na mama?
2. Ni jinsi gani ungependa mama awe, akufanyie, au akutreat?
3. Mmezaliwa wangali?
4. Ulishawahi kuhisi mama ana mapenzi zaidi kwa ndugu yako mwingine kuliko wewe/ninyi?
5. Mara ya mwisho mama kukuchapa/kukugombeza bila kosa ilikuwa lini, na ulituhumiwa kwa kosa gani na ulifeel vipi baada ya 'kuonewa'?
6. Kuna mama mdogo, mkubwa ambaye unampenda sana?
Tuanze na hayo kwanza.
Evelyn kipenzi watoto wa kike always ni wa dingi huwezi epuka such athing na sisi masela ni wa bi mkubwa ndo ilivyo lakini hii haiwezi kusababisha usiwe na mzuuuka kabisa na maza kama kuna somethng wrong she has done 2 u tujuze kwa mfano mimi dingi yangu simtaki hata kumsikia achilia mbali kumuona na kuna sababu behind ndo mana nakuuliza kama kuna reason behind
mi mwenyewe sijui namwonaje mama yangu..
Sina Uhakika kama ninampenda!!
Mi namwona kawaida na ninampenda ila tatizo tukikaa tu mda lazima tufarakane
Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums