we jitekenye tu sijui utacheka na nani, unadhani tupo china hapa au unatafuta kutukanwa alafu ulalamike kwa upumbavu wako? angalia usitafute watu tukuone lofa alafu useme tunakutukana kisa unatumia kibichwa chako kama mfuniko wa mwili TU.
Kama ni kweli zitazimwa basi mimi nitafaidika siweki salio tena wala sisumbui watu na vidole vyangu havipati shida ya kuchati ,ngoja nisubiri sa6 usiku