Sina rafiki wa karibu bado

Ndugu yangu ukitaka marafiki wa kufahamiana itakua shida ...watu wengi tunataniana kulingana na thread zetu.
Hivi ukiona Mzigua anavyonambia unafikiri tunakaa mtaa mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…