Usiwe na wasiwasi kwani tunapokuwa kwenye womb tunazunguka zunguka na hatua ya karibu na kutoka wengi wetu tuligeuka na kutanguliza kichwa kuelekea kwenye mlango. Unaweza kuta baada tu ya kutoka kwa doctor jamaa kesharudi kwenye right position.
Huyo doctor alitumia njia gani kupima position ya mtoto? Halafu ni vyema sana kwenda clinic na mkeo kwani mkeo anaweza akaelewa tofauti na doctor alichosema.
Angalia cheti cha mkeo halafu ingia kwenye Google na scholarly journals za maternity or pregnancy issues. La sivyo rudi nae kwa doctor in a week's time. Mwisho kabisa msaidie mkeo kazi zote za nyumbani ili apumzike vya kutosha.