menya inganyi
Senior Member
- Aug 10, 2016
- 169
- 109
acha utani bc kwa mambo ya msingi mkuuLabda kwa ajili una MENYA INGANYI ndio ukaisogeza. (Wachaga mtanielewa).
Dr alieona tatizo ndio alitakiwa aeleze sababu ya tatizo, madhara yake na nini kifanyike only in TZ Dr haweki wazi mambo kwa mgonjwa wake MUNGU IBARIKI TZnaombeni ushauri wife ana mimba ya miezi 6 sasa katoka clinic ananiambia docta kuangalia kaona mimba ipo kwa juu upande sasa hii imenipa wasiwas sana je tatizo gani linaweza kutokea na husababishwa na nini
Achana kabisa na ma dr wetu wa kibongo weee....tena ukute nje ana nyoma anawahudumia fasta fasta muishe....hata maongezi (kumuelezea mjamzito maendeleo yake) kati ya dr na mgonjwa hakuna...Dr alieona tatizo ndio alitakiwa aeleze sababu ya tatizo, madhara yake na nini kifanyike only in TZ Dr haweki wazi mambo kwa mgonjwa wake MUNGU IBARIKI TZ
Naombeni ushauri wife ana mimba ya miezi 6 sasa katoka clinic ananiambia docta kuangalia kaona mimba ipo kwa juu upande sasa hii imenipa wasiwasi sana je tatizo gani linaweza kutokea na husababishwa na nini?
"Mimba ipo kwa juu upande"!! Kk ungetumia neno la kitaalam lililokuwa documented ingekuwa rahisi kukupa ushauri maana nafikiria ECTOPIC PREGNANCY ila sina uhakika cuz alwayz insemwa kama "mimba imetunga nje ya mfuko wa uzazi"..weka clear mkuu ushauriwe..
Mkuu ectopic sio lazima ikae kwenye Falopian tubes(which is common) inaweza kukaa even kwny abdomen na sometime inaweza kwenda mpk term(40 weeks)..Ingekuwa Ectopic isingefika miezi sita kwa maanake ni kuwa mimba ipo nje ya nyumba ya uzazi - womb yaani imetungwa na kubaki kwenye fallopian tube.
Ectopic pregnancy - NHS Choices
ila ananiambia kua anasikia mtoto akicheza cheza tumboni kama kawaidaUsiwe na wasiwasi kwani tunapokuwa kwenye womb tunazunguka zunguka na hatua ya karibu na kutoka wengi wetu tuligeuka na kutanguliza kichwa kuelekea kwenye mlango. Unaweza kuta baada tu ya kutoka kwa doctor jamaa kesharudi kwenye right position.
Huyo doctor alitumia njia gani kupima position ya mtoto? Halafu ni vyema sana kwenda clinic na mkeo kwani mkeo anaweza akaelewa tofauti na doctor alichosema.
Angalia cheti cha mkeo halafu ingia kwenye Google na scholarly journals za maternity or pregnancy issues. La sivyo rudi nae kwa doctor in a week's time. Mwisho kabisa msaidie mkeo kazi zote za nyumbani ili apumzike vya kutosha.