Sina Takwimu

Sina Takwimu

Bornventure

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
529
Reaction score
523
Huku mbeya Leo mvua imenyesha sana lakini naogopa kuelezea mambo mengine yaliyoambatana na mvua hii kwakuwa sina TAKWIMU
 
Taarifa yako haijakamilika
 
Kesi hiyo kaka. Kama mamlaka ya halo ya hewa hawatosema basi
Kwa kuwa mkoa wa Mbeya ni moja ya mikoa ya kanda ya Juu kusini ambayo pamoja na sifa nyingine inasifika sana kwa baridi isiyo na takwimu halisi,unavyoona mvua hii haitakuwa imezidi kupandisha tabia mwili zinazopelekea mwezi wa tisa mwakani kutoa wapiga kura wapya wasio na takwimu?
 
Ahahahaa hiyo tafiti inaweza kuwa na ka uhalisia Fulani . mfano mzuri ni mi mwenyewe Leo baada ya kutoka ktk shughuri zangu mapeema nimejifungia tu ndani na bibie [emoji1] mwezi wa 9 itajijua yenyewe
 
Ahahahaa hiyo tafiti inaweza kuwa na ka uhalisia Fulani . mfano mzuri ni mi mwenyewe Leo baada ya kutoka ktk shughuri zangu mapeema nimejifungia tu ndani na bibie [emoji1] mwezi wa 9 itajijua yenyewe
Ha ha haa nasikia huko ukimuomba takwimu mwenyeji wa jinsia pendwa akakunyima basi ujue nyota yako ni ya 'kitume' na kuanzia hapo anza tu maisha ya kitawa hata kama si mseminari! Ukiwa half time tunaomba utupe mrejesho wa hiyo takwimu uliyojifungia nayo kwenye chumba cha kubadilisha jezi ili tujue kama ipo kwenye database ya 'serikali'
 
Back
Top Bottom