Upweke ni wewe kukosa kua karibu yako,,,haupo na wewe,hauongei na wewe,haujitazam wewe,unataka kuongea au kua na watu na watu hao wanapokesekana tatizo linajirudia,,ila jitahidi kua karibu na wewe mwenyewe ndio taba sahihi na ndio tafsiri halis ya upweke