Sina trancsript,nifanyaje?

Sina trancsript,nifanyaje?

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Me ni mwal. Wa kemia na Baolojia, nmemaliza chuo kikuu mwaka jana 2013, nasubiri kupangiwa kazi na serikali, tatizo hadi sasa sijachukua transcript, je nikipangiwa kazi inawezekana nikapokelewa bila transcript?
 
Anza kufatilia sasa hivi maana kuripoti kazini ni March,3 - 14. So utakuwa umeshaipata.
 
Me ni mwal. Wa kemia na Baolojia, nmemaliza chuo kikuu mwaka jana 2013, nasubiri kupangiwa kazi na serikali, tatizo hadi sasa sijachukua transcript, je nikipangiwa kazi inawezekana nikapokelewa bila transcript?
Duh...mimi sielewi huu utaratibu! Yaani mtu anakupangia kituo cha kazi (anakuajiri) halafu ndio aanze kuangalia vyeti?
 
Yeah.! It's possible ni kama unavyofanya registration unaporipoti chuoni kama unabahatika kufika huko.
 
Back
Top Bottom