Duh...mimi sielewi huu utaratibu! Yaani mtu anakupangia kituo cha kazi (anakuajiri) halafu ndio aanze kuangalia vyeti?Me ni mwal. Wa kemia na Baolojia, nmemaliza chuo kikuu mwaka jana 2013, nasubiri kupangiwa kazi na serikali, tatizo hadi sasa sijachukua transcript, je nikipangiwa kazi inawezekana nikapokelewa bila transcript?
Duh...mimi sielewi huu utaratibu! Yaani mtu anakupangia kituo cha kazi (anakuajiri) halafu ndio aanze kuangalia vyeti?
Hata kwa mfumo huu wa TCU?Yeah.! It's possible ni kama unavyofanya registration unaporipoti chuoni kama unabahatika kufika huko.