GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Teh teh teh teh....kwih kwih kwih....Sijui kawapima vipi...!!!
Na yeye msanii wa bongo, je yupo kny wengi au wachache
Habari bila picha hainogi kabisa!...“ Wasanii wengi wa Kiume wa Tanzania hawana Nguvu za Kiume ndiyo maana wengi Wao wanatumia sana Dawa za Kulevya na hupenda pia Kufakamia hovyo Supu ya Pweza na kudanganyika kutumia Vumbi la Kongo “
Ni matumaini yangu makubwa mno kuwa mara baada ya Kukurupuka Kwake kutoa Kauli hii basi Steve Nyerere atakuwa tayari ameshajiandaa Kisaikolojia kwa ama majibu atakayopata kutoka kwa Wasanii au Vipigo vya uhakika kutoka Kwao kwani najua kuwa kuna Wasanii wengine huko nyuma Historia zao za Kimaisha walishakuwa Mabondia wazuri tu wa Ngumi za Ridhaa na wengine ni Wacheza Kung Fu na Karate wazuri sana.
Kazi ipo!
Habari bila picha hainogi kabisa!...
Nashukuru... lakini nakushauri tafuta namna nzuri ya kutatua matatizo yako badala ya kuhamishia hasira kwa watu wengine wasiohusika na matatizo hayo...Steve Nyerere humjui au ni Ududuna ( Upumbavu ) tu unakusumbua?
jasiri ahachi Asili,Japo umekuja na I'd Nyingine Lakini Zile Features zako bado unazoSteve Nyerere humjui au ni Ududuna ( Upumbavu ) tu unakusumbua?
ACHANA NAYENashukuru... lakini nakushauri tafuta namna nzuri ya kutatua matatizo yako badala ya kuhamishia hasira kwa watu wengine wasiohusika na matatizo hayo...
Nashukuru... lakini nakushauri tafuta namna nzuri ya kutatua matatizo yako badala ya kuhamishia hasira kwa watu wengine wasiohusika na matatizo hayo...
Nimeshakudharau baada tu ya kugundua kuwa wewe ndiye yule yule "mpumbavu" wa kujisifia ujinga ila umeamua kutumia ID nyingine...Wewe ni Mke wangu hadi ujue kuwa nina matatizo? Huwa nikikutana na Maduduna kama Wewe ndiyo Hasira hunipanda.
Usibishe ni kweli...kama kuna mmoja cheupe dawa wa siku nyingi alianza kutumia super shaft,hadi 2010 alikua hajiwezi,na mmakonde ni hodari wa kutumia vumbi la kongo,hemed alikua na kibamia akaamua kubustiNa Mimi pia nimeliwaza hili sana tu Kiongozi.
Duh!, watu noma!, huyo jamaa mmemgundua mpaka akiwa hatumii zile fonts zake?!!.jasiri ahachi Asili,Japo umekuja na I'd Nyingine Lakini Zile Features zako bado unazo
hahaha Genta
“ Wasanii wengi wa Kiume wa Tanzania hawana Nguvu za Kiume ndiyo maana wengi Wao wanatumia sana Dawa za Kulevya na hupenda pia Kufakamia hovyo Supu ya Pweza na kudanganyika kutumia Vumbi la Kongo “
Ni matumaini yangu makubwa mno kuwa mara baada ya Kukurupuka Kwake kutoa Kauli hii basi Steve Nyerere atakuwa tayari ameshajiandaa Kisaikolojia kwa ama majibu atakayopata kutoka kwa Wasanii au Vipigo vya uhakika kutoka Kwao kwani najua kuwa kuna Wasanii wengine huko nyuma Historia zao za Kimaisha walishakuwa Mabondia wazuri tu wa Ngumi za Ridhaa na wengine ni Wacheza Kung Fu na Karate wazuri sana.
Kazi ipo!
Anasema Sababu wanakunywa mchuzi wa pweza sana na wengi wanakula unga.mwanume anajuaje kuwa mwanume mwenzake hana nguvu za kiume??
Tuanzie hapo kwanza.