Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Ukute mumeo aliamua kabisa kuzama chumvini ili akuridhishe, since he was away. Kumbe masikini ya Mungu anazamia shahawa za mwanaume mwenzake...ptyuuuuu! What the hell is going on in some people's minds. Unalalwa na wanaume wawili siku moja, una tofauti gani na malaya wanaojiuza kimboka? Kwa nini ukaolewa basi, Kuna watu either kwa kujua au kwa ulimbukeni, wanadhalilisha jinsia zao!!!
 
Hiyo mimba kajibebesha?
mme wa mtu mke wa mtu bao la mkono hili ajali kazini, akaitoe next time atiane na condom
michepuko kila mtu anayo tusijitie unafiki hapa

Evelyn Salt ukumbuke amechepuka akijua madhara ya kuchepuka alishindwa nn kukaa chini na mmewe wakaliongelea tatizo alilokua nalo

Kuhus kutoa mimba sishauri u never know Mungu amemwandikia mtoto huyohuyo why amuue hata hatia Hana?? Starehe zake mwenyewe ndo zimeleta majanha hayo Hilo alibebe haswa juujuu kama alivonyanyua mguu mos mguu pili akavua na nguo kumridhisha asie kua mmewe bas ndo apambanue hivo hivo
 
Last edited by a moderator:

You are absolutely right ukute hata kuongea na mmewe kuhusu tatizo alilonalo wala hakujishughulisha nalo alijua toka mwanzo kwamba mmewe Ana matatizo why asichukue tahadhar mapema na kumsaidia?? Ningekua n mmewe ningemuacha
 
umenichekesha sana eti ptyuu. Mkuu haya mambo acha tu
 
Hapa ukiangalia zaidi ya wanaomsapoti huyu mwanamke wengi wao ni
. Kundi moja wote vuruka njia,
. Wameachika,
. Wamezalisha na kuachwa sababu ya kurukia mambo,
. Makahaba.
. Ktk hali ya kawaida huwezi kuunga mkono ushenzy huu.
 
Duh? Michepuko noma hv je ukigndulika na hiv ina mana na mr utakuwa amevichota.

Mmh wee acha tuu, halafu ni graduate ambaye tungetarajia elimu yake ingemsaidia kufanya maamuzi sahihi ya kuvaa ndom..
 
Huna bahati maana mumeo naye yupo hapa JF na anachangia mada. Anasikitika umetoa siri za ndani kwenu kwavile hapa hapa JF kuna watu wanakujua wewe na yeye mumeo. Usingeomba ushauri hapa hadharani
 
Hiyo mimba kajibebesha?
mme wa mtu mke wa mtu bao la mkono hili ajali kazini, akaitoe next time atiane na condom
michepuko kila mtu anayo tusijitie unafiki hapa

suala la kuwa na mchepuko hilo linajulikana na wote tunatambua ndio maana japo tunakuta hamna bikra lakn tunaoa wakat huo tunajua hyo bikra haikutoka yenyewe.

Na unafki ni kama alioufanya huyu mtoa maada anamwita hubby huku anamletea watoto wa nje. Ilitosha achepke basi lakn angemheshimu kwa kutomletea damu za watu wa nje.
.
 
Hapa ukiangalia zaidi ya wanaomsapoti huyu mwanamke wengi wao ni
. Kundi moja wote vuruka njia,
. Wameachika,
. Wamezalisha na kuachwa sababu ya kurukia mambo,
. Makahaba.
. Ktk hali ya kawaida huwezi kuunga mkono ushenzy huu.

Kila siku kwa kungwi tu, kwa mwali lini???? msijifanye hapa huwa mnatundelea ushenzi tuna nyamaza ndo tumeanza sasa kulipa, naona waume wamefura humu inauma eenh, ovyo kabisa
 
Mkuu kwa akili ya kawaida kabisa huyu amepetuka mipaka sio kwa kujiamini huku nahisi Leo watu hasa wale wachepukaji watakua wamepata fundisho
 
Huyu dada anaweza kumhukumu ni Mungu pekee ila si mwanadamu nakataa kumtolea maneno ya kejeri huku baadhi ya binadamu humu mmetoka kutia mchepuko yenu harafu mkaenda home kulazimisha wake zenu wawalambe koni Allah kuna tofauti gani?Kwa Mungu hutasema coz ulikua kidume ruksa kizini,kizini ni kizini tu iwe kwa mwanamke ama kwa mwanaume? Naupenda ule mfano wa yule mwanamke mzinzi alipelekwa kwa Yesu wakimshutumu kwa uzinzi Yesu akawambia anayejijua ni msafi na awe wakwanza kumwadhibu yule mzinzi wote wakala kona sasa msijifike hiyo nafasi ya kuhukumu wenzenu huku mioyo yenu imejaa pia dhambi kwa Mungu hakuna dhambi kubwa wala ndogo.
 
Watoe unafiki hapa
Kweli hili limenigusa, uwe unafiki au ukweli but truth should be said. Kuna watu wanadhalilisha jinsia zao. Huyo mume wa mtu, mpumbavu sana, analea familia na yawzekana Ana watoto ambao hata hawezi kuwatimizia matakwa yao 100%. Lakini kwa upumbavu wake, amesomesha malaya from diploma level hadi chuo kikuu, kumpatia ajira...futseke zake!! Huenda hata familia yake imeathirika kwa yeye kujionyesha kijogoo kwa michepuko huko nje...futseke zake...
Huyo mwanamke mi nimemaliza, she's just an imbecile, harlot...unamlishaje mumeo shahawa za mwanaume mwingine? Damn it...ptyuuuu!!
 
Mmh wee acha tuu, halafu ni graduate ambaye tungetarajia elimu yake ingemsaidia kufanya maamuzi sahihi ya kuvaa ndom..

mkuu suala la kusema graduate bora tuliache tu maana hawa magraduate ndio wanaongozwa kuinamishwa maofis, kukunjwa kwenye magar, kuinamishwa viwanjan yaan hovyo kabisa.

Yaan kwasasa hivi bora uoe 4m4 aliyefeli au std7 kabisa kuliko hawa wanaojiita graduate japo sio wote lakn asilimia kubwa ni malaya hatar.

Halafu mbaya zaidi unakuta mnatiana vikumbo ndan na kujifanya kila mtu anajua wakat, matumizi ya ndan 80% anatoa mwanaume, hela yako ya wote ila yake ni yake, tabia mbovu, umalaya mkonon sasa jitu kama hilo lann? Si bora ubaki na unayejua kila kitu ni ww.
 
umenichekesha sana eti ptyuu. Mkuu haya mambo acha tu
Mkuu, tunalalamika kuwa dada zetu wanajiuza kwa kimboka, kumbe hatujui yawezekana tunaishi na wake zetu wanaojiuza indirectly.
Wewe kama unazama chumvini you'll understand what I mean...ptyuuuu...
 
Kila siku kwa kungwi tu, kwa mwali lini???? msijifanye hapa huwa mnatundelea ushenzi tuna nyamaza ndo tumeanza sasa kulipa, naona waume wamefura humu inauma eenh, ovyo kabisa

hicho kisasi unajilipa ww na ndg zako ila sio mwanaume. Hivi mpaka sasa unayemwona anamahangaiko ya moyo ni nan? Ktk ya mwanaume na mwanamke?

Kuna adhabu mnajipa pasipo kujua lakn baadae yakiwatokea ndio mnaishia kulialia.

Kama amelipa kisas si angetulia tu anakuja kufuata nn hapa jf kutaka msaada?
 
You are absolutely right ukute hata kuongea na mmewe kuhusu tatizo alilonalo wala hakujishughulisha nalo alijua toka mwanzo kwamba mmewe Ana matatizo why asichukue tahadhar mapema na kumsaidia?? Ningekua n mmewe ningemuacha
Hapo sasa, na kwa nini akubali kuolewa na mtu anayesimamisha mara moja kwa wiki kama alijua hatoweza kustahamili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…