Sina ujanja wa kuwakataa wasichana

Sina ujanja wa kuwakataa wasichana

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
248
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
 
mkuu we endelea nao woote piga tuuu ndo kipaji hicho!
Huwezi kuniambia mwanaume mzima unashindwa kuwa na msimamo au ndo unazo zile za kike nyingi (hormones)
 
we jamaa wewe? yaani unajisifia kuwa wewe ni mjinga kabisa kiasi kwamba neno NO halipo kinywani mwako?
Endelea hivyo hivyo shujaa wa chuma na mwoga wa wanawake
 
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
Injini kiuno au sio
 
All men are not slimy warthogs. Some men are silly giraffes, some woebegone puppies, some insecure frogs. But if one is not careful, those slimy warthogs can ruin it for all the others.
 
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
ningekuwa sina mpenzi ningekwambia tuonane ,yaani usingetamani mwanamke yeyote .ningeikomesha hiyo tabia yako
 
mi ni mganga wa kienyeji....njoo nikupe dawa
 
Oa i think itakusaidia coa utakuwa na hofu ya NDOA!!!

Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
 
Siku utakapoenda kupimwa ngoma na kuambiwa uko positive ndo utakuwa umepata jibu muafaka
Ni juu yako kushindana na hisia zako
 
we endelea tuu kuwachapa mk,,a.... halafu subiri kizaa zaa,,,,,,,,,,,,,,,,, waambie familia waandae pemperss,,,,,na nanihino eeeh,,,umenigeti bwana kubwa,,,, na mi pia ntakuja bora ni bure tuu,,, au wauzaaa????????
 
:angry:
 
Wakikugas sana nipatie namba zao...
 
mi ni mganga wa kienyeji....njoo nikupe dawa

Angalia usije ukawa unataka kumpa dawa ya utamu kama ni hiyo utaumia best.
uganga umeanza lini wewe kama siyo unamtamani mwenzako
 
Mzaha mzaha hutumbua usaha
o ooo,,, sorry sweat heart?????????? Its a joke?ee

nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
mpaka sasa una watoto wangapi?
Mimba ngapi za nje na ngapi za ndani?
 
ningekuwa sina mpenzi ningekwambia tuonane ,yaani usingetamani mwanamke yeyote .ningeikomesha hiyo tabia yako

Sweetheart ruksa, kamshughulikie tu nimekuruhusu
 
ningekuwa sina mpenzi ningekwambia tuonane ,yaani usingetamani mwanamke yeyote .ningeikomesha hiyo tabia yako
Ungefanyaje FL,maana unanitisha sijui ungetumia njia gani kumkomesha hiyo tabia yake mbaya.
 
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?

Mtaka nyingi nasaba hufikwa na mingi misiba.
Sio bure utakuwa unaumwa

Back
Top Bottom