Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Injini kiuno au sioNina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
ningekuwa sina mpenzi ningekwambia tuonane ,yaani usingetamani mwanamke yeyote .ningeikomesha hiyo tabia yakoNina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.

we endelea tuu kuwachapa mk,,a.... halafu subiri kizaa zaa,,,,,,,,,,,,,,,,, waambie familia waandae pemperss,,,,,na nanihino eeeh,,,umenigeti bwana kubwa,,,, na mi pia ntakuja bora ni bure tuu,,, au wauzaaa????????
mi ni mganga wa kienyeji....njoo nikupe dawa
:angry:
o ooo,,, sorry sweat heart?????????? Its a joke?ee
mpaka sasa una watoto wangapi?nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
ningekuwa sina mpenzi ningekwambia tuonane ,yaani usingetamani mwanamke yeyote .ningeikomesha hiyo tabia yako
Ungefanyaje FL,maana unanitisha sijui ungetumia njia gani kumkomesha hiyo tabia yake mbaya.ningekuwa sina mpenzi ningekwambia tuonane ,yaani usingetamani mwanamke yeyote .ningeikomesha hiyo tabia yako
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
ajali hiio ooo,,, sorry sweat heart?????????? its a joke?ee