Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
we endelea tuu kuwachapa mk,,a.... halafu subiri kizaa zaa,,,,,,,,,,,,,,,,, waambie familia waandae pemperss,,,,,na nanihino eeeh,,,umenigeti bwana kubwa,,,, na mi pia ntakuja bora ni bure tuu,,, au wauzaaa????????
Ungefanyaje FL,maana unanitisha sijui ungetumia njia gani kumkomesha hiyo tabia yake mbaya.ningekuwa sina mpenzi ningekwambia tuonane ,yaani usingetamani mwanamke yeyote .ningeikomesha hiyo tabia yako
Angalia usije ukawa unataka kumpa dawa ya utamu kama ni hiyo utaumia best.
uganga umeanza lini wewe kama siyo unamtamani mwenzako
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
ajali hii
wewe inatakiwa upelekwe Mombasa, ukapigwe kipapai, hamu zako zitahamishiwa kwenye kalio
Nina mlolongo wa mabinti, mimi sijisifii ila ni handsome kama wadada wasemavyo.
Nina urefu wa futi sita na nchi tatu, kifua kipana kilicho jengwa na mazoezi na nina vijibiashara ambavyo vinanifanya nisikose hela ya vocha.
Tatizo langu ni kwamba nafuatwa sana na mabinti na mimi sina uwezo wa kuwakataa.
Nifanyeje ili nitulie na mmoja tu?
mi ni mganga wa kienyeji....njoo nikupe dawa
...kamua tu! voda na tigo kamua tu! mchana na usiku kamua tu! hivyo vijisenti usisahau kuweka bima ya mazishi maana kifo kinapiga hodi mlangoni, kuna madege mengi yasiyoliwa ambayo likly ukayatafuna.
NILHAM, hapo red sijaelewa!
ningekuwa sina mpenzi ningekwambia tuonane ,yaani usingetamani mwanamke yeyote .ningeikomesha hiyo tabia yako
sweetheart ruksa, kamshughulikie tu nimekuruhusu
we subiri....wakati naongea na wateja unatulia....si unajua waungwana hawataki kiwingu......naomba nimshughulikie mteja tafadhali