Hilo ndo tatizo apo kwenye kukubebwa na hyo status.......ni sawa na wale ndugu zetu wa kwenye system ata awe na mapesa gani bado wanawaza uchaguzi ujao.Public
Hiki pia kinachangia, nilijaribu kumshirikisha mzazi wangu mmoja naacha kazi alifunga kuniombea sababu Taasisi ninayofanyia ni moja ya Taasisi ambayo inanibeba sn na inafanya mtu akijua upo sehemu hiyo unapata msaada kwa haraka, so kwetu wanaona kama nimechanganyikiwa.
Ni kweli kabisa unachokiongea.Hilo ndo tatizo apo kwenye kukubebwa na hyo status.......ni sawa na wale ndugu zetu wa kwenye system ata awe na mapesa gani bado wanawaza uchaguzi ujao.
Kwasababu wanaamini wakiwa uko ni mwendo wa mbeleko tu na status kuwa mimi mtu mzito.....
Ushauri, kaa na mumeo chini muongee vzuri, mmeo ndo anamaamuzi ya mwisho,
Najua unaogopa ukiacha kazi afu biashara nayo ikaja kuyumba jamii itakuonaje.....!! Ila mmeo ndo final say
Kipato huleta majivunoHabari wana JF.
Mtanisamehe kama nitaandika bila mpangilio, wengine hatuna utaalamu sana wa Lugha.
Wale watu wa dhihaka na kuona mtu akileta mada humu mnaona anajisifia plz, naomba mkae pembeni.
Nilijiekea dhamira na malengo nikifikisha 40 yrs nitaacha kazi sababu malengo yangu yatakua yametimia, ila Mungu ni Mkuu nimetimiza malengo yangu mwaka jana December nikiwa na 38 yrs.
Ila naogopa sana kuacha kazi, nimejikuta sina ujasiri kabisa.
Kwanini naacha kazi??
1. Sina passion na kazi hata kidogo, sipendi kuajiriwa.
2. Mshahara ninaopata kazini, naupata kwenye biashara tena zaidi pia niliweka FDR ambako nako kunanipa hela nzuri tu kila baada ya miezi 3. Hivyo, hata nikiyumba kibiashara nina uhakika wa kupata hela nzuri tu. Pia nina vitega uchumi vingine nisingependa kuviweka wazi ila vipo vinajiendesha vyenyewe mimi ni kupita tu kuangalia mara chache.
3. Kulea watoto wangu kwa ukaribu zaidi roho inaniuma kwa week napata siku mbili za kukaa full na watoto wangu.
4. Mume wangu anasafiri sana, hivyo nakosa muda wa kukaa nae pia anakua ananihitaji nimsindikize kwenye safari zake nashindwa. Natamani nipate muda zaidi nimlee pia Mume wangu
pamoja na yote hayo najikuta nakosa ujasiri kabisa, mlioacha kazi mliwezaje? Mlipata changamoto gani? Mlijutia? naomba ushauri.
Nimeona heri niombe ushauri huku sehemu ambayo sifahamiki.
Msaada wa kuhamia tasisi yenuPublic
Hiki pia kinachangia, nilijaribu kumshirikisha mzazi wangu mmoja naacha kazi alifunga kuniombea sababu Taasisi ninayofanyia ni moja ya Taasisi ambayo inanibeba sn na inafanya mtu akijua upo sehemu hiyo unapata msaada kwa haraka, so kwetu wanaona kama nimechanganyikiwa.
Sio kwa ubaya ila unadhani amekuja kutuomba ushauri sisi ilhali hajaongea na mumewe kwa kina? Nionavyo mimi mumewe amemuachia hayo maamuzi mwenyewe afanye uamuzi wa mwisho. Apparently wapo wanaume wanaowatreat wake zao kama binadamu huru wenye uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu mambo yao.Hilo ndo tatizo apo kwenye kukubebwa na hyo status.......ni sawa na wale ndugu zetu wa kwenye system ata awe na mapesa gani bado wanawaza uchaguzi ujao.
Kwasababu wanaamini wakiwa uko ni mwendo wa mbeleko tu na status kuwa mimi mtu mzito.....
Ushauri, kaa na mumeo chini muongee vzuri, mmeo ndo anamaamuzi ya mwisho,
Najua unaogopa ukiacha kazi afu biashara nayo ikaja kuyumba jamii itakuonaje.....!! Ila mmeo ndo final say
Mkuu sijatoka maisha bora nimepambana sana kufika hapa!!Biashara zako haziyumbi sabbu unalo pato la uhakika kila baada ya siku 30 ofisini .ukishategemea biashara pekee kama kila kitu chako ikiyumba kidgo huwezi kuiokoa , ofisn ukiwepo katika nyakati hizo waweze chukua mkopo wa sacoss ama salary loan.
Otherwise labda useme tu wewe ni maisha bora kitambo na vyote unavofanya si lazima uvifanye sababu maisha yako yataenda tu. / set new higher goals tumia hio taaluma hapo ofsn usiendee kuiweka nyumbani
Ni kweli.Sio kwa ubaya ila unadhani amekuja kutuomba ushauri sisi ilhali hajaongea na mumewe kwa kina? Nionavyo mimi mumewe amemuachia hayo maamuzi mwenyewe afanye uamuzi wa mwisho. Apparently wapo wanaume wanaowatreat wake zao kama binadamu huru wenye uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu mambo yao.
Mbona kama unataka kututeka vijana hapo uliposema umefanikiwa kiuchumi na hapo uliposema mumeo anasafiriHabari wana JF.