Sina ujasiri wa kuacha kazi

How prepared are you after quitting your job? It's very interesting kusoma stories za namna hii, hasa kwa mtu kama wewe unayesema huna side hustle yoyote na unataka kuacha kazi.
Mkuu Hicho unachosema ndio woga wenyewe ambao umewakeep watu kwenye Ajira up to 60yrs tena na wengine bado waki retire wanaomba tena kazi au kufanya kazi za Mkataba, hii yoote imetokana na Hofu kwamba sasa niliacha mbona sijajipanga, mbona Sina chakufanya lakini cha ajabu anastafu bado Hana alichojipangaπŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu angalau toa ABC ulivyo jiandaa kisaikolojia,maana kiukweli hizi kazi ni kama ulevi..hata kama unalipwa 300k kwa mwezi mtu unajikuta unakomaa tu.
 
Wengi tunatamani tufike hapo. Hongera .
Hayo malengo ulojiwekea kama yamekamilika , na hakuna inflation kubwa ya maisha, acha kazi kwa busara, wekaza muda zaidi kwenye vyanzo vingine huku ukifurahia Uhuru wako uloujenga baada ya muda mrefu.
 
Dadangu hakuna binadamu anayetosheka ni vile tuu sijui inakuaje

hao watoto unafΓ nya kazi kwa ajili yao, wapambanie tuu

Huyo mume nae hapo ndo balaa siku mmepishana kiasi utawaza mengi

Usiache kazi dearest sis, we love you pambana familia ile,y
 
Nakushauri acha Anza kuwa karibu na family Kwa kuwa tayari una vitega uchumi.
 
Me naona uache tu iyo kazi. Au badirisha taaluma. Mi mwenyewe nimeajiriwa ila kazi hainipelekeshi. Mwisho masaa 6 tu ofisini.
Hii kazi nzuri ingawa kazi zote za serikali ziko hivi, kazini saa 2 asubuhi, saa tisa upepo
 
Simara WENGI tumejiwekea malengo kama hayo ya kwako kufikia malengo fulani basi tupishe Ajira tufanye mambo mengine hasa tukiufikia Uhuru wa kifedha.

Kwa busara siku moja Njoo na Uzi wa Analysis angalau kidogo tu namna umeweza kufikia Uhuru wa kifedha ili nasisi tupite mlemle kwa maboresho zaidi.
 
Hofu yako inaweza kuwa ni mazoea tuu
Mazoea ya cycle ya wafanyakazi wenzio, au ile routine ya asubuhi
lakini utapata nafasi kubwa ya kulea watoto kimaadili na kuwafunza mengi kama mama
Kila la kheri
 
Ukiwa umeajiri na ukafungua biashara, basi biashara utaiendesha bila presha na itakimbiza hatari mpaka utaona kujiajiriwa ni kujichelewesha... Ila utakapoacha kazi basi biashara itaanza kulegalega..

Ila ukijipanga vizuri, kuajiriwa ni kujipotezea muda.. Kama umejipanga vema, fanya maamuzi sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…