Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
Hakuna wa kuacha kazi mkuu,kwa jinsi maisha yalivyo kwa sasa😄😄😄.Pesa haina thamani ila ukiangalia maisha kwa ground yalivyo alafu mtu anataka kuacha kazi bila kuwa na plan B,C,D.Unapata picha kuwa huu ni utani wa kufurahisha GENGE LA JF.How prepared are you after quitting your job? It's very interesting kusoma stories za namna hii, hasa kwa mtu kama wewe unayesema huna side hustle yoyote na unataka kuacha kazi.
mkuu unataka mwamba awekwe kwapani😂😂😂Ila naona ni vyema mwanaume ndo aache kazi asimamie biashara,ila siyo mwanamke.
Namaanisha kama wote wawili mume na mke ni waajiriwa,nk vyema mume ndo aache.
UZI UFUNGWE,UMESIRIBA NA SUMENTI YA KUJENGE MADARAJA YAKICHINA😄😄😄Chezea mshahara usichezee kazi.
Huu ni utani kabisa, kuacha kazi bila plan ni hatari!Hakuna wa kuacha kazi mkuu,kwa jinsi maisha yalivyo kwa sasa😄😄😄.Pesa haina thamani ila ukiangalia maisha kwa ground yalivyo alafu mtu anataka kuacha kazi bila kuwa na plan B,C,D.Unapata picha kuwa huu ni utani wa kufurahisha GENGE LA JF.
Kumbe tupo wengi tunao plan kuchomoka kwenye hizi Ajira..ingawa huku makazini kiuhalisia unakuta kaacha mmoja baada ya hata miaka mitano...hofu ni kubwa mnooDo it for the kids sis na Mungu akakusimamie.
Nikifika 35 won’t hesitate….
Naogopa kujibu maana JF utasikia unajivuna.SIKIA KWA MAKINI,
Kama huna vitu vifuatavyo endelea kuwa mtumishi;
1.Nyumba za kupangisha angalau nne ambapo kila moja inakupa walau million 18 kwa mwaka,kwa zote nne millioni 72.Endelea kufanya kazi tena ongeza bidii.
2.Biashara ya LODGE au gesti angalau LODGE au GEST 3.
3.Uwe na pesa UTT walau millioni 50 hizi ziwepo tu huko, umeziweka kama akiba.
📌Kama huna hivi vitu 3 walau hata 2 kati ya hivi usiache kazi.
Kama unavitu unafanya tofauti na nyumba za kupangisha na lodge.Hizo sio biashara wewe ni machinga tu. Hata kama umekodi vifremu hizo biashara huwezi tegemea kabisa ni very VOLATILE.Fanya kazi kwa bidii walau ufike miaka 55 ustaafu kwa hiyari ambapo utapata na stahiki zako zote.Ila tofauti na hapo USIJARIBU MAANA NI VERY RISKY!!!!
📌UCHUMI WA HII NCHI HAUTABIRIKI!
Wewe ni lidume.neno kuandika mkuu inaeleza kabisa jinsia yako ni ya kiumeAsante kwa ushauri Mkuu.
Nina watoto wanne.
Kama kazi inakupa amani,endelea kufanya kazi. Siku ikifika you won't hesitate.Nafsi tu imekosa ujasiri imeingiwa na uoga.
Kabisa mkuu.Hi kitu hata Mimi inanitesa Sana, nalipwa vizuri Lakini kazi nimechoka sana, Sina Interest kabisa na kazi, na sio kwamba Nina biashara nyingine, so I am going to quit soon. My psychology and comfortability is much more important too, by the way kama ulivyosema soon or later tuta retire tena at the time ambapo na nguvu hatuna, and we shall accept whether we like or not
100% I agree with You,Unajua kwenye hii Dunia, Right time and complete readiness does not exist.
Watu wanadhani eti kuna muda utafika kila kitu kitakuwa sawa.100% I agree with You,
Utakuta mtu ameajiriwa for 15yrs, lakini swala la kujiajiri bado anasema hajajipanga, mtaji hautoshi, Hana uzoefu wa biashara, sasa until when?
Anajikuta anastafia hump humo ndio anaanza kufungua Tigo Pesa, Mpesa kufuga kuku, mashine ya kusaga this is already too late
Still utaendelea kusubiri muda sahiihi na utayariUsipojipanga unaweza kufanya kazi mpaka uzeeni una miaka 100 na bado unaona pesa hazito
Niliwahi kuwaza kuwa nikijenga nyumba na kununua gari yangu nitakuwa nakula bata Tu maana Sina majukumu mengine zaidi ya kula nyapu kwa wife na kulea watoto, kumbe ukimaliza kimoja kinakuja kingine🙂Watu wanadhani eti kuna muda utafika kila kitu kitakuwa sawa.
Kumbe kila kukicha changamoto zinaibuka mpya.
Na huo muda sahihi wanao usubiri hawaufikii kamwe.
Majukumu yanaisha siku unavuta pumzi yako ya mwisho tu.Niliwahi kuwaza kuwa nikijenga nyumba na kununua gari yangu nitakuwa nakula bata Tu maana Sina majukumu mengine zaidi ya kula nyapu kwa wife na kulea watoto, kumbe ukimaliza kimoja kinakuja kingine🙂