Sina usharika na Joseph Mbilinyi, ila ngoma yake ya Wanakuita Sugu, naweza kumwambia dereva aireplay hiyo ngoma Dar to Dodoma na siichoki

Sina usharika na Joseph Mbilinyi, ila ngoma yake ya Wanakuita Sugu, naweza kumwambia dereva aireplay hiyo ngoma Dar to Dodoma na siichoki

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
I love that song badly,

but I am completely not accepting the style of Joseph Mbilinyi unreached politics, specifically in mbeya town constituency.

Alistahili kuwa mbali zaidi, lakini pia more powerful politician zaidi ya Lisu na Mbowe kwenye siasa za Chadema na ndani ya Tanzania kwa ujumla.

Nasikitika sana, the gentleman is not visionary 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
I love that song badly,

but I am completely not accepting the style of Joseph Mbilinyi unreached politics, specifically in mbeya town constituency.

Alistahili kua mbali zaidi, lakini pia more powerful politician zaidi ya Lisu na Mbowe kwenye siasa za Chadema na ndani ya Tanzania kwa ujumla.

Nasikitika sana, the gentleman is not visionary 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
163192.jpg
 
Huyu Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango ya join the chain kwenye hiphop ni kwere. Alishika namba moja kwenye orodha yangu ya wanahiphop bora wa muda wote.
 
Hata mtoto wa demu wangu ananiita anko Sugu....ile ngoma ni kali sana, utadhani kachana jana
 
Wewe ambaye uko visionary umefika wapi?
niko hapa naskiza vitamin music,
wanakuita SUGU, nani , wanakuita sugu, sugu sugu suguuuu,

hivi bidada wa kwenye chorous ni nani vile, gentleman?🐒
 
Bora usikilize miziki hiyo kuliko hawa wa sasa wanaimba sijui inama nkuchomeke njoo nkupake mafuta,ingiza taratibu mziki umeishaaa

Ova
 
Back
Top Bottom