Sinaga Swaga inairudisha Hip Hop ya Bongo kwenye mstari wake – Young Killer

Me kama dozi mkuu... asubuhi mchana na jioni bila kusahau usiku

Nimeukubali sana
Hahah mkuu mimi sasaivi nikibadilisha mziki mwingine nauona hauna ladha na gafla nashikwa na arosto ya Sinaga swaga
 
madhara ya kushinda na akina Nash mc, Nikki mbishi, true boy matokeo yake ndio kupata ngoma kama hizi
Japokuwa kwa mbaali nimeiona flow ya Songa, lakini kwakweli hii ladha ilikuwa inapotea mpaka mashabiki tukapatwa na arosto...
 
wimbo wa kawaida sana, sina swaga ya kuusikia mara nyingi nyingi aisee na kichupa hakiko vizuri sana ila kajitahidi
Wewe wimbo unaouskiza mara nyinginyingi kwa kipindi hiki ni upi???
 
young killer. .karudi katika ubora wake tunaoujua ..kupitia hii hii ngoma..yaani kuanzia beat mpaka mistari.huchoki kuisikiliza.
Haswaaa.... Real definition ya ubora wa zamani... Sasa ajitahidi kukaza
 
Kurudi kwa mona hatukatai ila awe anachanganya ladha za beat manake beat za mona zinafanana kiasi flani...
 
Handsome boy asiye na matunzo..Huyu dogo uwa namuelewa sana
 
Ila ukweli hii nyimb ní ya kawaidà nyimbó yake ya mwisho nzur ni ile aliyemshirikishà maua sama tumsaport tu ila ajipime dear gambe,superstar mpaka hapa vp
 
Nyimbo nzuri za mwanzo zinamsumbua sana young k
 
Yule dogo ni danger sema nyota ya hip ndo hafifu tu
 
Japokuwa kwa mbaali nimeiona flow ya Songa, lakini kwakweli hii ladha ilikuwa inapotea mpaka mashabiki tukapatwa na arosto...
palla kaitendea haki hiyo biti in short hajawahi niangusha toka kwenye ngoma ya tunaizindua mitaa
 
Maisha yanavyozidi kua magumu ndo watu wanarudi kwenye hiphop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…