Mbwembwe tu...akipigwa risasi hapo..utamkuta chini ya uvungu
Ngoja sasa tuwavue nguo zao sasa hivi wamekimbia. Wakija watakuwa na sababu za ajbu ajabu.Huyo anawatosha....
Vunja kabisa.....Ngoja sasa tuwavue nguo zao sasa hivi wamekimbia. Wakija watakuwa na sababu za ajbu ajabu.
Hawa ndio wale wezi wa kule supermarket
Unadhani sasa hao Kenya hata wana silaha. Ni mbwembwe tu hawana lolote. Silaha hawana, Njaa inawaua na huku wanakuja na mbwembwe za ajabu kweli. Jeshi la kenya ni moja ya majeshi manyoooonge sana hapa Afirica. Wakisikia mlio wa risasi wanakimbia kujificha uvunguni.Hao wanasilaha za kisasa zaidi yenu but wanauwawa kama kuku na wauthi..kuwa na silaha na morali ya vita ni vitu viwili tofauti ambavyo vinatofautisha kati ya TPDF na KDF
kwani Lizzie Velasquez ni mkenya? sasa nimejua umri wako, dogo nenda kafanye homework.Kwikwikwi sasa kaa mkao wa kula nakuletea zana za kazi za JWZ. KDF ni wanyonge mno wanatembea kama miss kenya
Huyu hapa
View attachment 418479
"Wavaa sandals na yeboyebo" wamewashinda na mpaka leo mmegoma kutoa idadi ya wanajeshi wiliouawa somali cuz ni aibu tupu..alaf mnajitapatapa na vidude vyenu hivyo..Uliza JWTZ waliwafanya nini M23 alaf ndo uje kuropokwa huku..[emoji23] [emoji23] [emoji23]watanzania ndo hua mazembwelala, enda hapo stolkholm utaona details za tanzania ilinunua nini na ime order nini kutoka nje ili ku support jeshi lake, serikali ya Tz ndi haiambi watz wenyewe kwahivyo mnabaki mazuzu hamjui nini kimenunuliwa wakati the rest of us nje ya Tz tunajua mko na nini
Anangojea wenzake waje.mapicha yameisha.....
56 KDF soldiers killed in Somalia honoured at fete"Wavaa sandals na yeboyebo" wamewashinda na mpaka leo mmegoma kutoa idadi ya wanajeshi wiliouawa somali cuz ni aibu tupu..alaf mnajitapatapa na vidude vyenu hivyo..Uliza JWTZ waliwafanya nini M23 alaf ndo uje kuropokwa huku..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwikwikwikwi. Hao Al Shababu wala sio magaidi. Ni wanamgambo tu wamewatoa tumbo joto mnalialia kama watoto yatima.56 KDF soldiers killed in Somalia honoured at fete
Tanzania iko za zero experience kwa vita vya ugaidi. hadi ile siku mtaenda kupigana 'Holy war' mfunge midomo yenu tafadhali... Eti unajicompare na wale washamba wa M23, hivyo ni vita aina tofauti bana...
vita vya M23 ambao walikua wanataka uongozi tu... vilichukua mwaka mmoja miezi saba...wanajeshi waliongoza kutoka nje ni wa south africa (1,400), wakafwatwa na tz1(1,200) na wa DRC wenyewe aambao ndo walikua wako kwa frontline..... M23 ilikua inatoshana mtu 6,000.... baada ya mwaka mmoja miezi saba, m23 takriban mia nane walikua wamekufa....hao wengine waka surrender na kutupa silaha..
KDF inapigana vita vya kigaidi...hapa hakuna cha ku surrender, wanaeka mitego ya IED barabarani, wengine wanajifunga mabomu na kukufwata mbio wakati mnashika doria mitaani somalia, mtu ako radhi ajitoe mhanga.....
Kenya iliingia somalia October 2011, baada ya mwaka moja october 2012, kenya peke yake (Bila kuchanganya Uganda, burundi,Ethiopia ) ilikua imemaliza alshabaab 3,000 Kenyan Forces Outperforming US Forces in War Against Islamists
Lakini alshabaab hawakuangusha silaha, infact, kadri unavyo waua ndo wengine wanazidi kuongezeka, wanazidi kujitoa mhanga kulipiza kisasi....
I recommed, tafuta series flani mpya inaitwa 'Taking Fire', wanajeshi wa marekani kutimia kamera ambazo walikua wanazifunga kichwani walikua wanapiga vedio wakipigana na magaidi afhganistan, karibu kila time walikua wakipiganan nao, mmarekani alikua anapoteza mmoja au wawili, kuna wakati walitegeshewa bomu moja kubwa hata hutaamini, wamarekani na nguvu zao zote walichukua miaka zaidi ya kumi kupambana na magaidi, sahii inasemekana kuna magaidi wengi zaidi kuliko wakati wowote mwengine wa ki historia..... Alafu wewe unakuja turingia na wale washamba wa M23 ambao hata hawakuenda shule