since i started dating her..mambo hayaendi kabisa..

kama ulitangaza deal zako kwa huyo changudoa ili akukubali ,ndio maana mambo hayaendi.
 
sipati picha huyo mdada atajisikiaje akijua unamuwazia haya.
 
Wengine,hawana kismarti cha maendeleo wala utajiri.ukijitumbukiza bila kujua ni wako au laa.matatizo hutokea.always utajikuta upo nyuma tu.Muhusishe sana mungu katika mahusiano yako.
 
Yawezekana sio mzoefu then unaconcetrate kwa huyo x wako badala ya kufikiria majukumu yako
 
mteme halafu nipe namba yake ya simu! Niwe namriwaza!
 
Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen this week and last week zooote zimeharibika..naanza kuhisi kuwa huyu mtoto anagundu..nimteme??
Huwa siamini kwny vitu vya namna hiyo
 
...Ni upepo tu Mkuu ukitulia kila kitu kitakuwa bambam.
 
Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen this week and last week zooote zimeharibika..naanza kuhisi kuwa huyu mtoto anagundu..nimteme??

ina maana amekuwa kama hana bahati kwako? yani kila kiu unakuta kina buma? usifanye haraka kwanza assess yourself je ww ni mkarimu? na je unatoa sadaka na fungu la kumi? kama ndiyo basi uulize mungu atakupa majibu. juu ya binti tulia pengine yeye ndo uliyekusudiwa awe wako na shetani kashaliona hivyo anakuwekea mtego au pia siyo binti mzuri yaani hayuko vizuri na mungu ni mtu wa kuabudu miungu mingine. jikague kwanza
 
Zingetiki hzo dili ungekuja na thread kwamba amekuletea bahati?? Gundu ni wewe mwenyewe usimsingizie mwenzio.
 
Holy ****!
Ni mara yako ya kwanza kwa dealz zako kutofanikiwa? Yaani 2 weeks tu unamsingizia dada wa watu? Wenzio wameoa tu wakafukuzwa kazi, na wakasota na wake zao wapya hadi wakatoboa! Toka zako hapa!
 
Dont find fault. Find a remedy.  Henry Ford

By the way....

If you blame others for your failure..., do you credit them with your success..?

I love u more
 
Holy ****!
Ni mara yako ya kwanza kwa dealz zako kutofanikiwa? Yaani 2 weeks tu unamsingizia dada wa watu? Wenzio wameoa tu wakafukuzwa kazi, na wakasota na wake zao wapya hadi wakatoboa! Toka zako hapa!

Lol lol muwashe kibao?
 
Gundu unalo mwenyewe,ulikurupuka ktk mapenzi,ulijua mapenzi ni lelemama..?jipange kwanza ndio uanze mapenzi,laa sivyo kila utakayempata utasema ana gundu,kumbe lako hilo kijana.
 
ivi kumbe kuna watu bado wana imani za kimizimu
 
Yani two weeks only umeshaanza kumjudge mwenzio hivyo?napata wasiwasi na mapenzi yako kwake..
Kwenye maisha kuna changamoto kibao sio lazima kila siku mambo yawe mteremko ndugu!
Like....nimekugongea
 
Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen this week and last week zooote zimeharibika..naanza kuhisi kuwa huyu mtoto anagundu..nimteme??

mm nadhani ww unamatatizo,tena sio mwanaume wa ukweli,wiki mbili 2 eti dili haziendi,kwani una mkataba na mungu km kila cku dili zako zitakuwa poa tu...maisha sio tambalale kijana,maisha ni mjumuisho wa mabonde,tambalale,vikwazo,nk...ww ni chovya chovya,huna true love.
 
Hivi karne hizi bado kuna iman za ivi,nahofia makuzi yako na iman ulizokua nazo,iman za hv zitakusumbua sn maishan,labda upate mwenye iman za hv ndio mtawezena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…