Hapa iko hivi....
Kesi ni kesi na kazi ya mahakama ni kutoa haki
sasa basi kama itaonekana kuwa Mh Regia aliichakachuliwa kura zake, mahakama itasema kwamba hapa haki itatendeka, na uamuzi unaweza kuwa aidha kumpa ushindi alieshinda kihalali au kuitisha uchaguzi upya
kama wakimpa ushindi aliyeshinda kihalali ina maana Regia ataachana na ubunge wa Viti maalum na kuwa mbunge wa kuchaguliwa jimboni, so Chadema watagain one more seat kwenye viti maalum na CCM watakuwa wamepoteza mbunge wa kuchaguliwa mmoja
kama ikiitishwa uchaguzi upya ina maana vita inaanza upya, na hapo inategemea anaweza kuamua kwenda kugombea kama mwanzoni ilivyokuwa.....