Since Tanzanians dont want EAC, what do you guys think about this guys idea?


Umeenda Huko somalia forum unatuletea upuuzi kama huo!!
 
Kwani EAC ni ya TZ na KE pekee???..

its obvious that you hate Tz with passion but what have we done so far to you NOTHING...
If living in our way is being pussy then forever we 'll stay that way coz we all know what your weaknesses are but we wont put our noses into your ashaming national state as IT IS NON OF OUR BUSINESS

Najua inside your skull theres nothing left than an empty space but at least try to cover up for your parents failure of raising a spoilt mannerless kid like you....
if you want the EAC shit just move on with COW but how far have you reached without the lazy TZ...NO WHERE coz Kenya is more than Nairobi

Nasikitika kumjibu mtu unayetumia kichwa kufugia nywele..wengine wataniwia radhi
 
hawako E.A.C
But Ethiopia na China wao ni wajamaa kuliko Tanzania. Amina Mohammed na Aden Duale wanawapeleka horn of Africa bila ya nyinyi kujuwa. Kenya will not survive a day in the horn.
 
Hujajibu swali, ni lini waTanzania walisema wanalitaka hilo shirikisho?
Consultations zilishafanywa na kamati ya kukusanya maoni ya watanzania iliongozwa na Profesa Sam Wangwe. Majibu yaliyotoka ni kwamba watanzania asilimia kubwa wanalitaka Shirikisho, ila hawataki ku "fast-track". Wanataka mambo yaende hatua kwa hatua.
Pia watanzania walikuwa na hofu kuhusu masuala manne
1) Tofauti za kiuchumi baina ya nchi za EAC
2) Watanzania kuwa na uwezo wa kukamata fursa za kibiashara na ajira
3) Umiliki wa maliasili - madini na ardhi
4) Utekelezwaji usioridhisha wa hatua za awali za mtangamano - Soko la pamoja na sarafu ya pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…