SINDANO HII NI YA AINA GANI? BADO IPO?

SINDANO HII NI YA AINA GANI? BADO IPO?

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Kuna askari magereza mstaafu huko Kenya aliyekuwa kazi yake ni kutekeleza adhabu ya viboko. Anasema wao walikuwa wakichomwa sindano iitwayo TLP ( sina hakika kama matamshi yake ni hayo au nimemsikia vibaya). Kwamba sindano hiyo ukichomwa inakaa mwaka mzima mtu huwezi kuumwa ugonjwa wowote. Sasa nauliza sindano hiyo bado ipo mpaka siku hizi? Ni sindano ya aina gani hii? Naomba mtupe ujuzi ma dokta na wauguzi mnaoijua sindano hii.
Msikilize hapa.
 
Back
Top Bottom