Hivi nikweli kuwa mtu mwenye matatizo ya ugonjwa wa moyo na presha hapaswi kudungwa sindano ya DICLOFENAC?. Tafadhali naomba wanajamvi mnijuze juu ya kadhia hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati,
Ni kweli ni hatari kwa mtu mwenye heart problems kupewa declofenac na hasa injections. Inasababisha arrythmias, ni irregular heart beats na may led to heart attack