Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
Amechomaje kama hajaona siku zake?.. Usimpige talaka.. Kaeni muyamalize taratibu. Labda anasababu za kutokukushirikisha. Mna mtoto/ watoto?
Tumia akili unapomshauri mwenzako. Unafikiri DNA ni rahic kama unavyojua? Au talaka ni kama barua ya kuombea mkopo benk? Acha hizo mwenzako ana matatizo makubwa yanayohitaji ufumbuzi wa kina.kamcheki DNA huyo mtoto ujue kama ni wako, ikibainika sio wako wapige wote wawili talaka-yeye na mwanae
Leo ni siku
za 4 mama watoto hajaona siku zake.Leo kachoma sindano ya kuzuia mimba.hawez kuiharibu mimc?NATAKA NIMPIGE TARAKA .HAKUNISHIRIKISHA.
Leo ni siku
za 4 mama watoto hajaona siku zake.Leo kachoma sindano ya kuzuia mimba.hawez kuiharibu mimc?NATAKA NIMPIGE TARAKA .HAKUNISHIRIKISHA.