M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,611 Reaction score 5,009 Feb 1, 2017 #1 Salamu kwenu! Je,hakuna mbadala wa sindano za chanjo wanazopatiwa watoto,katika mapaja yao? Maana nimeshuhudia zikiwapa mateso sana muda mwingine hadi kupata homa. Kweli hakuna namnan yingine ya kuwapa chanjo?
Salamu kwenu! Je,hakuna mbadala wa sindano za chanjo wanazopatiwa watoto,katika mapaja yao? Maana nimeshuhudia zikiwapa mateso sana muda mwingine hadi kupata homa. Kweli hakuna namnan yingine ya kuwapa chanjo?
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Feb 2, 2017 #2 Hapo ndio sehem inayofaa mkuu