Sindano za kichaa cha mbwa Hospitali ya government ni shilingi ngapi?

Sindano za kichaa cha mbwa Hospitali ya government ni shilingi ngapi?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Kuna mbwa hapa nyumbani amepata kichaa cha mbwa na alikua anatulambalamba tukiwa tunamtilia chakula!

Hizi sindano kwa government had umalize dozi unaweza gharamia sh ngap?

Nishachomaga siku nyingi kwa bima na private sijui kwa wenye utalam na vituo vya serikali
 
Aiii fanya Fasta mkuu baada ya siku tatu nne tano utabweka na habari yako itakuwa imeisha
Lakini si kwa kulambwa labda akutoboe na kucha..nk

Alafu mkuu ni vile vimbwa koko uliulizia humu ukataka ununue?
 

Attachments

  • 5D92016E-3D9C-4974-B232-AFF577337EDF.png
    5D92016E-3D9C-4974-B232-AFF577337EDF.png
    399.8 KB · Views: 17
  • 47A55886-55F6-4102-BCE2-15355A97927D.png
    47A55886-55F6-4102-BCE2-15355A97927D.png
    439 KB · Views: 15
Back
Top Bottom