Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
uwiii70000 moja
na makucha ndioAiii fanya Fasta mkuu baada ya siku tatu nne tano utabweka na habari yako itakuwa imeisha
Lakini si kwa kulambwa labda akutoboe na kucha..nk
Alafu mkuu ni vile vimbwa koko uliulizia humu ukataka ununue?
ndio kichaa kinaambukizwa kwa kung’atwa,kulambwa,kupaluliwa na hata hewa kwa kiasi kidogoAisee kulambwa tu sindano
Unaujua huu ugonjwa au unasimuliwaWatu wa dar bwana kawaiyooo mbwa kukuramba tu unaenda kuchoma sindano......!!!
Watu wa dar bwana kawaiyooo mbwa kukuramba tu unaenda kuchoma sindano......!!!
Nimeshuhudia vifo viwili mwaka huu ni hatariUnaujua huu ugonjwa au unasimuliwa
vifo vya nn mbwa au watuNimeshuhudia vifo viwili mwaka huu ni hatari
Aisee hii hela sina kabisaKuna serum na vaccine uchomaji wa hizi dawa hakikisha unaonana na mtaalam afya usichome vichochoroni andaa kati ya 60,000 -80,000
Nenda hospital ya serikali iliyokaribu nawe muone afisa ustawi wa Jamii atakusaidia mkuuAisee hii hela sina kabisa
duuh hao si wanadili na makundi maalumuNenda hospital ya serikali iliyokaribu nawe muone afisa ustawi wa Jamii atakusaidia mkuu
Hapana wewe nenda na hela uliyonayo utapata msaadaduuh hao si wanadili na makundi maalumu
Ooh kumbendio kichaa kinaambukizwa kwa kung’atwa,kulambwa,kupaluliwa na hata hewa kwa kiasi kidogo
haya mkuuHapana wewe nenda na hela uliyonayo utapata msaada