Duuuh totoooooozi, mimi kazi yangu itakuwa kusifia tuHaka ni kamchezo flani hivi Amaizing tuanze kukacheza yaani kwa wanaume unaandika Reply yako huku unaisindikiza na picha ya mtoto mkale,
Na pia kwa kina dada nyie mnasindikiza na picha ya handsome mmoja matata.
Mfano.
Mambo vipi Mzigua90
View attachment 871169
Aisee kitu kimetulia mkuu, hapo unakula kila tuUnasifiaje bila picha sasa mkuu.
View attachment 871183
Atatulia tu mkuu hivi vitu vinatishaTulia mkuu
View attachment 871182
ππππππππππ
Bora ungeweka yangu mkuu[emoji23][emoji23]
hhahaha leta tuwekeBora ungeweka yangu mkuu[emoji23][emoji23]