Singa Singa Aua mtu kwa Bastola Kinondoni Mkwajuni

Kwanini akatishe uhai wa mwenzake hivyo. Polisi itampata tu.
 
Akiuliwa kiongozi, utashangaa anapatikana, ila kabwela utasikia uchunguzi unaendelea!
 
Usishangae kusikia haya mauaji yameandaliwa na Mchungaji Msigwa-Mbunge Chadema,!!!! Chezea Polisisiemu Veve eh!!
 
FBI watusaidie kama walivyofanya kwa mauaji ya padri kule zanzibar.
 
Polisi wamekalia dhuluma tu, siku hizi wamekua TRA proper officers, kazi kufukuzana na watu wanaobeba bidhaa, hata bati kumi tu utakimbizwa kwa pikipiki utadhani umeiba,lakini kwenye tukio kama hilo huwaoni, ila pita na pick up kama hutawaona wamekuzunguka mithili ya fisi kwa mzoga .
 
..Saa kumi jioni sehemu tajwa inakuwa imejaa umati wa watu. ina maana huyu ponjoro mlevi aliweza kuanguka, kuamka, kuubishana na dereva, kuchomoa bastola na kumuua Mtanzania mwenzake na kutoweka eneo hilo bila kudhibitiwa kwa namna yoyote ile! Ina maana alipofyatua tu bastola kila mtu alitafuta pa kupita na hakuna hata aliyekuwa na ujasiri wa japo kumtupia tu mawe!

...Ninasema hivi kwa sababu nina uhakika kuwa muuaji huyo angekuwa mbantu ni lazima angekamatwa maeneo hayo hayo na kuuawa!:A S 39:
 
Singasinga was under the influence of alcohol and then he was provoked by the dead man.! Hapo kimsingi hana case ya kujibu kwa sheria za Tanzania..!
Mkuu kama mtu amegonga gari yako ni wewe unatakiwa kumkwida mpaka akulipe au unaripoti polisi!
 
Singasinga was under the influence of alcohol and then he was provoked by the dead man.! Hapo kimsingi hana case ya kujibu kwa sheria za Tanzania..!
Je nchi inaongozwa bila ya sheria?
TANZANIA PENAL CODE
CHAPTER XIXA
Murder and Manslaughter
195. Any perdon who by an unlawful act or omission causes the death of another is guilty of felony termed "manslaughter". An ulawful ommision is an omission amounting to culpable relgence to discharge a duty tending to preservation of life or health, whether is or is not accompanied an intention to cause death or bodily harm.

196. Any person who of malice afore thought causes the death of another person by unlawful act or omossion is guilty of murder.

197. Any perso convicted of murder shall be sentenced to death.

198. Any person who commits a felony is liable imprisonment for life.

201. When a person who unlawfuly kills another under circumstances which, but for the provision of this section would constitute murder, does the act which causes in the heat of passion causes by the sudden provacation as here in after defined, and before ther is time for his passion to cool, he is guilty of manslaugter only.

Kwa uelewa mwangu mdogo juu ya sheria za makosa ya jinai, nimeona huyo Singasinga hana pa kutokea ikiwa kama atakamatwa. Pia nimepitia sheri 200 na 202.
Je kifungu kipi kitamweka huru?
 
Kaka vifungu mbona vingi tu? Kwanza maiti haiongei kwa hiyo itasingiziwa vitu vingi tu mfano bastola ilifyatuka kwenye purukushani za ugomvi, marehemu alimfyatulia singasinga risasi bila mafanikio sasa kwenye kujihami naye singasinga akafyatua yake kwa ustadi mkubwa, pili singasinga atahonga ili kupindisha sheria..! Mbona ulimboka alitaja waliomteka na hawajaguswa? You must refering sheria ya nchi za nchi jirani siyo bongo land
 

Labda, uoga na rushwa, propaganda za kimataifa n.k vichukue mkondo. Ila kwa mujibu wa ushahidi niliousikia, na sheria tulizo nazo, huyo Singasinga hatoki.
 
Ganda la risasi likipatikana huyo muuwaji atapatika na sheria itachukua mkondo wake
 
Ritakuja rikamanda moja la mkoa maalumu wa kiporisi na kusema... Ndugu wananchi kama mnavyojua geshi lenu ra porisi riko mbioni kumtafuta mharifu, rakini kama mnavyojua ni kazi kubwa kwani hawa Singa singa ni wachache na wanafanana sana. tutaunda kamati maalumu ya wataaamu wa interejensia kuweza kuwakamata wote baada ya kufirita na kujua who is who! Asanteni.
 
Kweli hilo tukio lakusikitisha lilitokea jana,ni kijana mmoja wa kiarabu na sio singa singa alikuwa anaendesha pikipiki akiwa amelewa huku ana yumba yumba barabarani ndio ikatokea hiyo atajali katika mabishano akampiga risasi ya kichwa yule mwenye gari na kufariki papo hapo.....
 
Kikosi cha lnterejinsia kipo busy kukagua nyumba ya Lwakatare
 
Me nafikiri hii issue sio ya kweli.. Ni kama ile ya Manyoya ya Surrender... Hakuna ushahidi wa picha, jina wala number ya iyo carina kote nnakosoma habar kuhusiana na tukio hili!! Kitu ambacho si rahisi kutokea watu wa mkwajuni na morocco wasipige picha na kuturushia.. I think its hoax... My thoughts

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

mimi juzi juzi nimekutana nao hapa mbele kidogo ya kigogo police post nikiwa nimetokea zangu k/koo wakanisumbua sumbua nikawapa buku tano wakanitema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…